HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
100% maana kufanya Mtihani wa Maswali 5 ndani ya dk 50 km hauna Afya Njema ya Akili uwezi kutoboa
Mfano mzuri upewe essay ya maswi 4 utafute point 5 kwa kila swali ndani ya dk 7 ukiwa na pressure kubwa, ndo sawa na oral za utumish, ki kawaida tu mtu unapewa lisaa na nusuu na essay point zake huzipati utoboi na hapo ni under minimum pressure. Oral za utumish tuziache kama zilivo.
 
Interview za Utumish kiukweli nazipa heshima yake.
 
Sasa kama mifumo ya kukupa uwanja wa kupractice hicho ulichosomea!!!, kwanini usipitie madesa kukumbushia mambo kidogo?

Falsafa ya kumaster kitu ni kukifanya mara kwa mara na kwakuwa ni entey level, akizama kazini full ni ndani ya mwezi ashakuwa officer mkubwa, tena specialist...
Elimu yetu inashida mahali haki ya mungu , mtu unajiamini kabisa kutumia desa.

Ndio maana Private sector zinafanya vizuri sana ifauti na serikali, mfano ukimpa Mwekezaji kitu kama TANESCO atasafisha mpaka wafagiajiwa wa ofisi alete timu mpya
 
Elimu yetu inashida mahali haki ya mungu , mtu unajiamini kabisa kutumia desa.
Tunatofautiana, kuna quick na slow learner, na pia siyo wote wanasoma, pia siku ya Oral, PSRS huchukua kila kitu saa moja asubuhi, wewe unabaki na cheti tu, kwenye interview kama umewahi kuingi ni saa tano au sita.

Na wa mwisho anaweza aingie saa 10 jioni, na atoboe vizuri tu, halafu uje uniambie huyu mtu hana content?
 
Oi Mi naomba nikuache Kwa namna unavyoandika nashindwa kuelewa upo upande gani (Kigezo cha taswira ya Mtu Moja ndy uifanye iwe taswira ya watu wote huu ni ukosefu wa Maarifa km Rafiki yako alikosa pakujishikiza bhs usidiliki kumfananisha na wengine huyo ni Rafiki yako)

Ukiwa unatoa Mawazo yako Hakikisha unazungumza Kwa niaba ya wengi na sio mtu Moja km ulivyofanya we.

Mfano km Mwajuma alipata Mimba darasa la 7 Bhasi Wakina Mwajuma wote watapata Mimba darasa la 7 (Ndy Jinsi navyoyaona Mawazo yako yalivyo Bro ) 🙏🙏🙏🙏 Samahani Kwa Ilo tafuta wa kubishana nae nao Lengo lako sio kuelimishana ni kubishana
Nimeandika zangu post ukaja na negative attitude (ukareply my post) sahiv unaanza kusingizia ubishani mie nimeweka hoja ya ubishani wapi?

Mbili kama umesoma research huw tunachukua sample size ya watu kadhaa kuwakilisha kundi kubwa la watu.

Nimemgusia MTU mmoja as a case study wapo wengi wa namna hiyo :CC refer mkeka wa Tamisemi na fatilia mijadala after kupangia watu kazi.

Be postive before hujasoma au kujibu post ya mtu.
 
Elimu yetu inashida mahali haki ya mungu , mtu unajiamini kabisa kutumia desa.

Ndio maana Private sector zinafanya vizuri sana ifauti na serikali, mfano ukimpa Mwekezaji kitu kama TANESCO atasafisha mpaka wafagiajiwa wa ofisi alete timu mpya
Ushambiw mtu akikaa mwezi mzima tyr kawa Expert (Specialist).

Hii nchi nitafute Passport nitoroke.
 
Sasa kwani interview za PSRS, utaenda kujibu na hauna knowledge nini maana ya theory ya darasani nini maana ya FPT?

Hayo mengine ya kazini ni kuna on-job training, na computer application ikiwa hakuna tool specific ya kutumia kwenye ofisi husika, wiki moja tu ushajua word, excel na ppt hiyo.
excel ujue wiki moja? haya bhana
 
Elimu yetu inashida mahali haki ya mungu , mtu unajiamini kabisa kutumia desa.

Ndio maana Private sector zinafanya vizuri sana ifauti na serikali, mfano ukimpa Mwekezaji kitu kama TANESCO atasafisha mpaka wafagiajiwa wa ofisi alete timu mpya
haha public sector hamna KPI wanaingia tu ofisini wanasign wanaondoka basi
 
Hawa assume wameweka vitu ambavyo kila graduates anatakaiwa awe ame master wa course fulani na vinahakikiwa na TCU. wakikuita wanajua fika unajua utapigwa tu brush ya tranning.
mimi nimeuliza one week unaweza kujua excel? hata upigwe brush ya aina gani
 
mimi nimeuliza one week unaweza kujua excel? hata upigwe brush ya aina gani
Lazima ujue kwanini usijue si umesoma chuoni, kwanza excel ni course muhimu kwa kila anechukua degree kama sikosei, mwaka wa kwanza course karibu zote wanaisoma, halafu usisahau watu wa ICT lazima wafanye practical ndo waende oral, mi naona system ya utumish ipo pouwa tu kaka.
 
excel ujue wiki moja? haya bhana
Sasa hizi basics za excel kwa maofisa wa kawaida si wiki moja tu ushaelewa, mimi sidhani kama mtu anatoka chuoni ajapitia hizo basics za comp. Applications.

Wewe kama ni Accountant, M&E's Excel lazima uwe deep kwenye excel, sababu ni moja ya tool, katika shughuli zao za kila siku.
 
Lazima ujue kwanini usijue si umesoma chuoni, kwanza excel ni course muhimu kwa kila anechukua degree kama sikosei, mwaka wa kwanza course karibu zote wanaisoma, halafu usisahau watu wa ICT lazima wafanye practical ndo waende oral, mi naona system ya utumish ipo pouwa tu kaka.
Nakataa kwamba comp inafundishwa kila course. Nakataa kabisaaa
 
Sasa hizi basics za excel kwa maofisa wa kawaida si wiki moja tu ushaelewa, mimi sidhani kama mtu anatoka chuoni ajapitia hizo basics za comp. Applications.

Wewe kama ni Accountant, M&E's Excel lazima uwe deep kwenye excel, sababu ni moja ya tool, katika shughuli
Kumbe kwa maofisa wa kawaida
 
Nakataa kwamba comp inafundishwa kila course. Nakataa kabisaaa
Chuo nilicho soma mm ni cha gov, na kulikua na course mbili college yangu yote facat zaid ya 10 walisoma introduction to computer na Development study aka DS ilikua lazima kila course wasome izo kwa college yangu, so kama chuo chako hakina siwez lazimisha, ilaaa duuh 🤣🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom