Ndo maana nimesema changamoto zipo lakini bado PSRS ni chujio zuri sana. Changamoto nazoziona ni watu kukalili madude kichwani na kwenda kuyatema na kupata kazi.
Labda wangebadili mfumo badala ya mention, list wangekuja na maswali relevant na experience pamoja na proffession ya mtu na kila wanachotaka
Mfano hizi ni top five questions nilizowahikuulizwa kwenye interviews mbalimbali
1. Why should we hire you?
2. How do you thrive under pressure?
3. Have you failed before? how did you handle it?
4. What are your strengths and weakness
5. How do you proffessionaly address a problem?
erc
Kupitia maswali hayo trust me utapima kila kitu kwa candidate confidence, time management, team playing, skills na vitu muhimu mwajiriwa anapaswa kuwa navyo.
Lakini kuingia kwenye interview unaambia mention sijui types, sijui componets sijawahi kuona kama ni njia nzuri. so nawasupport PSRS ila wabadili vitu kama hivyo.