HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mfano mzuri wale walioajiriwa mwezi wa 3 TRA then waliambiwa kabisa wareport na wakaanza induction muda mfup huo huo, lkn hawa wengine wameambiwa paka wapigiwe simu
 
Tatizo humu mnawarahumu psrs bila kujua, wale hawatakiw kupata lawama zozote zile kwa sababu gan mfani trc ilitangaza nafas watu wakapga interview then walipopata ajira wakaenda kulipoti then wakaambiwa watapigiwa simu, wakakaaa home miez 3 bila kupigiwa simu, Mashirika yanaomba vibali vya kuajiri so paka vije kutoka n mchakato unaweza kuta waliomba kipind hiko labda kwa matazamio yao walikuwa wamerenganjambo fulan so unakuta kibaki kmetoka hilo jambo limepita au limesogezwa mbele so inakuwa ngumu kuwaangiza mda mwingibe vbla vinatoka ila wanakuta wamelenga mwaka mpya wa fedha
KWANI WAKITOA MAJINA WATU WAKAJIJUA NA WAKAWEKA WAZI KINAVHOSUBIRIWA KUNASHIDA GANI? UWAZI NDIO TATIZO NI UF*L* TU
 
Sema nashangaa mnavyojaribu kuspin mambo ionekane tunaosema ajira zirudi kwenye mashirika yaajiri yenyewe ndo tuna connection kule...
Swali mnaloshindwa kutujibu hadi sasa ni je wakat haya mashirika kabla ya 2015 yakitangaza yenyewe malalamiko ya ajira na walokuwa wanapata ajira kule walkuwa na wenye connection?? Je watoto wa maskini hawakuwa wakipata ajira kule kulingana na uwezo wao?? Nenda vyuoni malecturers wengi na watumishi wengi walokuwa wanaajiriwa moja kwa moja ni kwa connection bila kujali sifa zao??
Nyie hamwoni hata ufanisi wa haya mashirika ni hafifu hivi sasa kisa kukosa wafanyakazi maana unakuta ofisi inahtaji watu labda 10...wanaomba kibali huko utumishi wanaletewa wawili hizo nane znakuwa filled na nani sasa??? Wakat yangekuwa yanatangaza yenyewe idadi inayotakiwa ndo inayoajiriwa ila utumishi utasikia sjui bajeti haitoshi....masababu kbao maana inahudumia sehemu nyingi mno kiasi kwamba nao wanaelemewa na mamizigo ya usaili na kupangia watu kazi...
Mm wakat nakuja kuanza chuo hali ilokuwepo enzi hizo ni wengi wanaomaliza chuo kazi zilkuwa nje nje...sasa hv hali imefikaje fikaje hapa??????
Urahisi wa upatikanaji wa kazi hapo Awali (Unaweza kuwa ulikuwa rahisi Kwa sababu ya ushindani mdogo uliokuwepo)

Twende Mbele turudi nyumba Serikali Yetu kutokana na maboresho ya mazingira katika Sekta ya Elimu imefanya namba za wasomi (wahitimu) kuongezeka hivyo ushindani umekuwa Mkubwa.

Nahisi Sisi wenyewe ni mashahidi wa ili Miaka ya hivi Karibuni zimetangazwa nafasi nyingi mno lkn bado haziwezi kutoshereza Idadi ya wahitimu.

Kuna baadhi ya Mambo sio vyema kuanza kulinganisha na Miaka ya Nyuma na hii kutokana na nature ya ongezeko la watu km tu Sensa ya 2012 watanzania tulikuwa Millions 44 na Sensa ya Mwaka Jana (2022) Idadi ilikuwa ni 61 Millions (Ongezeko la 17 Millions Sawa na Ongezeko la 39% kutoka Sensa ya 2012.

Hivyo Bhasi tutambue wasomi wameongezeka na Ushindani Umekuwa Mkubwa tofauti na zamani na uwenda Idadi ya Jobless imeonekana kuwa kubwa Kwa sababu ya Uwazi wa Nafasi za Matangazo ya Kazi kuwa Wazi zaidi tofauti na Miaka ya Nyuma (Kabla ya PSRS)
 
Hv scenario za wanaoajiri wenyewe unazungumzia kuanzia 2015 au kabla ya 2015??
Malalamiko kuhusu ajira na michakato yake aswa yameanza lini??
Huu uchwelewashaji huu kadiri unavyozidi kila uchwao inatufanya tuanze kuona utumishi na saili zao ni ubabaishaji tu
Haiwezekani hadi unaita watu usaili halaf majibu yawe taratibu hazijakamilika...sasa uliita wa nn usailini?? Au ndo kutest patience za watu...ieleweke hvyo

Halaf hii ya kutwambia eti muajiri anakuwa hajawa tyr kuna taratibu znakuwa znaendelea ndani huko..sasa kama alkuwa hajawa tyr kwann alipeleka ombi la kuhtaji watu utumishi????
Mpaka watu wanaitwa usaili inabidi mambo yote yawe yashakuwa tyr unless turudi kule unamaliza chuo unasepa zako kazin...hamuipendi hiyo? Iwe kama ile ya walimu na madaktari...bila hata kutuma maombi as long as rekodi zako znaonesha ushahitimu chuo unapangiwa zako shule au kituo cha afya....sema kwa tulivyorundikwa sas hv ni ngumu huu mfumo kurudi
Inaoneka upendi kufanya Mtihani 🤣🤣🤣 ss hizo Kazi za Ualimu na Afya si tulikubaliana ni wito ndy maana uwaga hawafanyi interview Yoyote ile zaidi ya kutuma Maombi tu nakusubiri kuchaguliwa (Kupangiwa kituo cha Kazi)
 
Urahisi wa upatikanaji wa kazi hapo Awali (Unaweza kuwa ulikuwa rahisi Kwa sababu ya ushindani mdogo uliokuwepo)

Twende Mbele turudi nyumba Serikali Yetu kutokana na maboresho ya mazingira katika Sekta ya Elimu imefanya namba za wasomi (wahitimu) kuongezeka hivyo ushindani umekuwa Mkubwa.

Nahisi Sisi wenyewe ni mashahidi wa ili Miaka ya hivi Karibuni zimetangazwa nafasi nyingi mno lkn bado haziwezi kutoshereza Idadi ya wahitimu.

Kuna baadhi ya Mambo sio vyema kuanza kulinganisha na Miaka ya Nyuma na hii kutokana na nature ya ongezeko la watu km tu Sensa ya 2012 watanzania tulikuwa Millions 44 na Sensa ya Mwaka Jana (2022) Idadi ilikuwa ni 61 Millions (Ongezeko la 17 Millions Sawa na Ongezeko la 39% kutoka Sensa ya 2012.

Hivyo Bhasi tutambue wasomi wameongezeka na Ushindani Umekuwa Mkubwa tofauti na zamani na uwenda Idadi ya Jobless imeonekana kuwa kubwa Kwa sababu ya Uwazi wa Nafasi za Matangazo ya Kazi kuwa Wazi zaidi tofauti na Miaka ya Nyuma (Kabla ya PSRS)
Kwa hyo watu wanavyoongezeka hata ile idadi ya wanaoajiriwa inakuwa ndogo??
Yaan kama JK aliweza ajiri kila mwaka ndo hapo kati ajira ziwe kama zmesitishwa ilihali idadi ya watu ilkuwa inaongezeka?? Huoni kama kuna mambo hayajakaa sawa hapo?
 
Inaoneka upendi kufanya Mtihani 🤣🤣🤣 ss hizo Kazi za Ualimu na Afya si tulikubaliana ni wito ndy maana uwaga hawafanyi interview Yoyote ile zaidi ya kutuma Maombi tu nakusubiri kuchaguliwa (Kupangiwa kituo cha Kazi)
Hii ni point pia. , Nchi yoyote duniani , unspokuwa na sekta binafsi dumavu haya ndio hutokea , uchumi wa sekta binafsi inabidi ukue ,kuzalisha na kutoa ajira za kutosha ,tofauti na hapo ni kilio tupu .

Serikali haiwezi meza majobless wote wa kitaa lakini haiwezi kwepa lawama pia kwani kuna makosa ya kurunda watu kitaa yalifanyika 2015 ,ajira zilikuwa hazitoki na zikitoka ni chache , ridiculously vyuo vinazalisha watu kila siku kwa idadi kubwa ,hapo mbanano kitaa lazima uwe wa hatari mno , kama ilivyo sasa .
Serikali pia waendelee kuchochea ukuaji wa uchumi hasa sekta binafsi , wawekezaji waje wengi kufungua makampuni na vitega uchumi vinavyotoa fursa za ajira bora kwa manufaa ya raia .Hata raia pia wa kawaida kufunguka kwa opportunities nyingine kuwepo . Atleast hili tatizo litaanza kupungua .

Leo hii ukitaka kuamini hali ni mbaya fanya research tu hata ya kubandika matangazo ya kampuni hewa ,we andaa tangazo sema kampuni flani tunatoa ajira mshahara laki mbili tunaajiri graduates wenye degree , halafu weka contacts hapo uone hilo nyomi lake sasa , hii ni implication ya jinsi hali hata ya uchumi wa mwananchi wa kawaida ilivyo mbaya mtaani

Tofauti na hapo ni kukimbizana na nyomi la utumishi na vimbwanga kama hivyo
 
Ndio maana kuna taasisi zimetangaza nafas na watu wamepga interview then ndani ya week 3 tu unakuta mzigo tayari so psrs hawana tatizo ila inategemea na muajiri kwa wakat huo
Ni kweli hii inategemea na uharaka wa mwajiri,mfano tume ya Taifa ya umwagiliaji ndani ya week 3 tu baada ya usaili wa mahojianao PSRS wametoa pdf.
 
Back
Top Bottom