HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hata huyu atapotea tu, tutaanza kumsoma kule kwa rikiboy, kula kimasikhara, ngoja aanze zile ziara za kikazi. [emoji2957]
Huo uzi sijautembelea kwa siku nyingi sana ingawa huwa nauona unatrend.
 

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?​

  • Likaibuka kundi la kutoa muongozo namna ya kujiandaa na kujibu maswali katika mtihano wa mchujo, videdea wakapata kazi, wanapita kwa kuchungulia sasa.
  • Limepita kundi la kutoa mbinu namna ya kujibu oral, vinara wakapata kazi, tupo nao kwa uchacje sasa.
  • Kumekua na kundi la kujadili status na maana zake baada ya oral, vinala wa mjadala mmoja mmoja wanachomoka.
  • Sasa tupo katika mjadala wa mkeka wa sub, keka la database,.... Kila evolution na vinara wake, kitaeleweka.
Huu uzi una vizazi ,tupo kizazi cha nne ,
 
Matokeo ya oral yaanikwe wazi ,pia na notification za mtu kuwekwa data base zianikwe ili ijulikane kama mtu yuko data base au hamna nadhani hii itakuwa ni jambo la maana sana hata kama watajichelewezha huko mtu kwa mfano ukijua uko data base au imefaulu oral kwa kiwango kipi unakuwa na amani hata kuendelea na ishu nyingine ,unajua ni suala la muda before wakupangie kazi
Sijui kwa nini wanaficha ficha sijawaelwa kbsa hawa jamaa nia yao hasa
 
Humu n mwendo wa wenge tuhh...

Wengi wana wenge la placement za November, Wengi tuna wenge la database, wengine wenge la Status...

In short jobless n mtu wa wenge tuh, ndo maana wadau wakipata vitengo wanaanza kuwa na maneno ya hekima, hasira zinapungua, wanaanza kutoa comments za motivation,

Humu hakuna mtu aliyepata kitengo akaendelea kuwa na makasiriko
Hahaaa ,ujobless + msoto wa street lazima wenge liwepo mkuu😆😆😆😆 ,nikujifunza kulipunguza ,maana makasiriko ya mara waweza rukwa na akili ,ukawa mwehu
 
Kuna MTU ameshawahi kuitwa usaili kupitia cheti cha Postgraduate Diploma? Mfano: Degree Human Resource, Postgraduate Diploma Accountancy.

Ukaitwa usaili kwa fani ya Accounts
 
Kuna MTU ameshawahi kuitwa usaili kupitia cheti cha Postgraduate Diploma?
Mfano: Degree Human Resource, Postgraduate Diploma Accountancy.
Ukaitwa usaili kwa fani ya Accounts
Haijawahi tokea hiyo.
 
Kuna ishu za Examination mkuu, bila wale waliosomea Uhasibu hutoboi, udanganyifu na ukwepaji wa kodi kupitia Financial statements utakuwa juu, uwepo wa hao watu unapunguza hatari ya udanganyifu.

Hata ufanisi wa Kazi, waliosomea Uhasibu hapa TRA ndio wanajua mambo mengi zaidi, kuliko waliosoma KODI, kwanini? Ni kwa sababu KODI ni ZAO LA PROFIT na hadi ufikie kwenye Profit basi hao waliosoma uhasibu ndio wanajua hasa expenses zipi zimechomekwa. Mf. Ni ngumu kwa aliyesoma KODI kujua aina ya expenses kwa undani.

Watu waliosomea kodi wanafaa zaidi kuwa Tax Consultants kuliko hata TMO, CUSTOMS.

TRA kuna units/Departments

Kwa upande wa Tax regions ukiachana na HQ
1. Block management
2. Real estate and Non Tax Revenue
3. EFD
4. Examination and VAT control
5. Audit
6. Business Intelligence
7. HR
8. ICT
9. Registry

Hapo mtu wa Account atafit vizuri kwenye Examination, Audit ila Department zilizobaki tukitoa HR, Registry, Ict mtu wa Tax ndo sehem zake. Mtu aliyesoma Tax anajua kodi kwa undani zaidi. Huko Customs pia ndo sehem zao,
 
TRA kuna units/Departments

Kwa upande wa Tax regions ukiachana na HQ
1. Block management
2. Real estate and Non Tax Revenue
3. EFD
4. Examination and VAT control
5. Audit
6. Business Intelligence
7. HR
8. ICT
9. Registry

Hapo mtu wa Account atafit vizuri kwenye Examination, Audit ila Department zilizobaki tukitoa HR, Registry, Ict mtu wa Tax ndo sehem zake. Mtu aliyesoma Tax anajua kodi kwa undani zaidi. Huko Customs pia ndo sehem zao,
Hiyo yako ni kinadharia zaidi. Field haiko hivyo
 
Basi tuseme sio kila taasisi inaweza kupokea watu kutoka kanzidata.

Tutumie mfano wa Taasisi za Vyuo vikuu ambapo huwa wanatangaza nafasi zikikosa watu.
Mbona kanuni zinasema ipo kanzidata ya wakufunzi passmark 70+
 
TRA kuna units/Departments

Kwa upande wa Tax regions ukiachana na HQ
1. Block management
2. Real estate and Non Tax Revenue
3. EFD
4. Examination and VAT control
5. Audit
6. Business Intelligence
7. HR
8. ICT
9. Registry

Hapo mtu wa Account atafit vizuri kwenye Examination, Audit ila Department zilizobaki tukitoa HR, Registry, Ict mtu wa Tax ndo sehem zake. Mtu aliyesoma Tax anajua kodi kwa undani zaidi. Huko Customs pia ndo sehem zao,
Ukiwa TRA ndio utajua waliosomea Uhasibu ndio muhimu zaidi ya hao waliotoka ITA.
 
Back
Top Bottom