_saul
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 257
- 520
N
Ndio uone vijana tunavyoteswa na serikali yetu watu wanafaulu mitihan hawapati nafasi hadi database inaexpire cha ajabu kila siku kazi zinatangazwaKusema kwamba watu hamna database mmh siamini maana wazr alizngmza wazi kwamba kuna watu 1769 wamo humo database