HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hv kweli nafasi inahtaji watu wawili
Halaf pale znawekwa kozi za watu wa kada tofauti.....unatarajia nn hapo??
Yaaan nafasi za watu wawili kada kama nne tofauti......si ndo kuita watu 200 kwa nafasi ya watu wawili

Hii inapelekea wale wakongwe ...wenye miaka 5+ kutojishughulisha na kuomba kazi ya namna hii
 
Accounts unasoma Tax kama course, mtu wa Tax toka 1st year anasoma tax utamshinda kwenye masuala ya examination na audit ila kwenye investigation anakuacha mbali. Mtu wa Tax yuko deep zaidi kuliko aliyesoma accounts.
Fahamu kuwa kila eintity huwa inaandaa financial statement mbili, moja for general purposes ingine for tax purpose only, hizo zote huandaliwa na muhasibu, acha mbwembwe wewe.
 
Hv kweli nafasi inahtaji watu wawili
Halaf pale znawekwa kozi za watu wa kada tofauti.....unatarajia nn hapo??
Yaaan nafasi za watu wawili kada kama nne tofauti......si ndo kuita watu 200 kwa nafasi ya watu wawili

Hii inapelekea wale wakongwe ...wenye miaka 5+ kutojishughulisha na kuomba kazi ya namna hii
Wewe kama hautaki kazi serikalini au hauko tayari kushindana, kausha. Haina maana ya kuhitaji huruma katika hili. Nafasi 2, shortlist 2000+ na watu wanaenda, nini watu 200+?
 
Accounts unasoma Tax kama course, mtu wa Tax toka 1st year anasoma tax utamshinda kwenye masuala ya examination na audit ila kwenye investigation anakuacha mbali. Mtu wa Tax yuko deep zaidi kuliko aliyesoma accounts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jidanganye hivyo hivyo
 
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi
baada ya nafasi kupatikana.[emoji23][emoji174]
Ebu lete na caption/intro ya pdf ya Wakufunzi
 
Matokeo ya oral yaanikwe wazi ,pia na notification za mtu kuwekwa data base zianikwe ili ijulikane kama mtu yuko data base au hamna nadhani hii itakuwa ni jambo la maana sana hata kama watajichelewezha huko mtu kwa mfano ukijua uko data base au imefaulu oral kwa kiwango kipi unakuwa na amani hata kuendelea na ishu nyingine ,unajua ni suala la muda before wakupangie kazi
Hivi private huwaga kuna matokeo kuwekwa wazi?
 
Hv kweli nafasi inahtaji watu wawili
Halaf pale znawekwa kozi za watu wa kada tofauti.....unatarajia nn hapo??
Yaaan nafasi za watu wawili kada kama nne tofauti......si ndo kuita watu 200 kwa nafasi ya watu wawili

Hii inapelekea wale wakongwe ...wenye miaka 5+ kutojishughulisha na kuomba kazi ya namna hii
utumishi wanajitahidi sana kufanya kazi lkn kuna maeneo yanahitaji maboresho kiukwel hasa hilo suala la kurundika watu wengi kwenye saili za mchujo mm bado sili hafiki sana kiukweli
 
Hv kweli nafasi inahtaji watu wawili
Halaf pale znawekwa kozi za watu wa kada tofauti.....unatarajia nn hapo??
Yaaan nafasi za watu wawili kada kama nne tofauti......si ndo kuita watu 200 kwa nafasi ya watu wawili

Hii inapelekea wale wakongwe ...wenye miaka 5+ kutojishughulisha na kuomba kazi ya namna hii
Kwa uzoefu watu hao 200 wachache sana.
 
Hivi private huwaga kuna matokeo kuwekwa wazi?
Hamna ,kule mara nyingi Kwanza hasa bongo hapa interviews huwa ni general unagongwa written na oral hapo hapo ,hizo ni zile za kufanya interview physically , interview mseto hizo , ingawa kwa njia ya mtandao hawa NGOs na makampuni sikuhizi interview maswali ni oral Tu tena kwa mtandao kama ni zoom au Skype.

Ingawa unaweza enda round kadhaa utakuta kuna NGOs au mashirika mnapiga preliminary interview ambayo ndio hiyo mara nyingi utakutana na Hr yeye atakuuliza masuala yaliyobase kwenye human resources zaidi kama kujieleza kwanini tukuajiri wewe na si mwingine au kuelezea academic background na Proffessional back ground , kuelezea scenario au challenge flani jinsi ambavyo ungedeal nayo katika hiyo vacancy ambayo umeomba , team management nk then kunakuwa na second round interview hiyo ya manager / coordinator WA kitengo chenye nafasi katika NGO au kampuni naye atakugonga maswali technical na Proffessional zaidi ili kukutest uzoefu wako na utaalamu kwa fani yako tena mara nyingi hasa hizi za mtandao ni oral.

Hakuna cha written , unagongwa swali limechangika aptitude test na professional concepts humo humo, kama hauko vizuri ,ngumi mpepeso inakuhusu .
 
Back
Top Bottom