Marekebisho kidogo Zanzibar Wana ZRB (Zanzibar Revenue Board) na overseas wao bado ni HQ (TRA ya Mapato House)
Bahati Mby zaidi hicho KiPDF cha Kipemba kilinishangaza Sana. Maana last time(PDF ya April 9 2022) kulikuwa hakuna kitu km hicho sababu Miongoni mwa walioramba Asali wapo walioajiriwa huko Zanzibar (Sijajua Upande wa TMO lkn Custom Officer wapo) .
Mashaka yanakuja PDF la written kutoka nahisi lilitaka watu wote waliofanikiwa kupata Pass Mark Watafanya ORAL interview DODOMA (Japo Sahili za mchujo Kwa wote zilifanyika Kikanda nao Zanzibar walipata nafasi hiyo) km nipo sahihi nahisi hakuna Oral iliyofanyika nje ya Dodoma (,sidhani km znz walifanyia znz) yote 9 kutoa PDF ya Kipemba sio Shida tatizo ni kwanini hakuna Jina la Kikristu kwenye PDF Yao (Swali Je watu waliofanya kutoka Zanzibar wote ni waislamu , Je Zanzibar ni Non Secularism state kitu ambacho sio Kweli 7b kule Piah kuna makanisa)
Na Swali lako la Utofauti Kati ya ZRB na TRA (Upo lkn ni mdg sn na mara nyingi upo Kwenye Baadhi ya tozo ambazo utozwa Zanzibar huku bara hazipo) lkn maslai ya TAASISI na utendaji Kazi wote wapo sawa