HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tunasema Kazi Iendelee....

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?​

  • Likaibuka kundi la kutoa muongozo namna ya kujiandaa na kujibu maswali katika mtihano wa mchujo, videdea wakapata kazi, wanapita kwa kuchungulia sasa.
  • Limepita kundi la kutoa mbinu namna ya kujibu oral, vinara wakapata kazi, tupo nao kwa uchacje sasa.
  • Kumekua na kundi la kujadili status na maana zake baada ya oral, vinala wa mjadala mmoja mmoja wanachomoka.
  • Sasa tupo katika mjadala wa mkeka wa sub, keka la database,.... Kila evolution na vinara wake, kitaeleweka.
 
wazee ujobless usitupeleke mpaka hatua ya kutukanana. nikweli ajira ngumu ,fursa adimu lkn tujiepushe na matusi ni hayo tuu
mm mwenyewe nishawahi kutukanwa humu huwa najiuliza mtu hatujuani anapata wapi ujasiri wa kumtukana mwenzie mana humu kuna watu ni baba au mama wa familia na watoto lkn mtu anamtukana mwenzie kama anamjua sana vile

tunakuwa kama watu wa vilabuni wakati humu ni watu wenye focus zao kabisa
 
chronic depression
 
Wengine hata hatujawahi toboa written lakin tunaamini one day

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?​

  • Likaibuka kundi la kutoa muongozo namna ya kujiandaa na kujibu maswali katika mtihano wa mchujo, videdea wakapata kazi, wanapita kwa kuchungulia sasa.
  • Limepita kundi la kutoa mbinu namna ya kujibu oral, vinara wakapata kazi, tupo nao kwa uchacje sasa.
  • Kumekua na kundi la kujadili status na maana zake baada ya oral, vinala wa mjadala mmoja mmoja wanachomoka.
  • Sasa tupo katika mjadala wa mkeka wa sub, keka la database,.... Kila evolution na vinara wake, kitaeleweka.
 
Tulia mzee kz ushapata wenge la nini sasa mkuu
Humu n mwendo wa wenge tuhh...

Wengi wana wenge la placement za November, Wengi tuna wenge la database, wengine wenge la Status...

In short jobless n mtu wa wenge tuh, ndo maana wadau wakipata vitengo wanaanza kuwa na maneno ya hekima, hasira zinapungua, wanaanza kutoa comments za motivation,

Humu hakuna mtu aliyepata kitengo akaendelea kuwa na makasiriko
 
Asali huondoa makasiriko haha mtu unarudi kwenye fomu ya sawa ukipata mrija
 
Kuna tangazo naliona
Watu mbalimbali wameitwa
Yaaan ukijaribu kutafakari kwa undani kwenye kanzidata hawakosekani ila zmetangazwa nafasi lukuki tu[emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]
 
Labda hawatoshi mkuu...mana muongozo unasema usaili utaitishwa ikiwa kanzi data haina watu au watu wapo ila kwa idadi pungufu
 
Mhhhh mfano mdogo wakemia wapo kama wote huko
Kwamba wamekosekana wawili wa kujaza hizo nafasi? Watu wa uchumi na marketing hawapo?

Hv wanavyokuwa wanafanyisha usaili si wanalipwa chochote hao wafanyishaji? Per diem?
 
Yeah Ila nasubiria mke wangu apate placement anipe nauli mamb magumu kinoma
Wewe endelea kujiandaa,hakuna miujizA kuingia Oral, zaidi ya kujiandaa vizuri kabla, epuka maandalizi zima moto, fahamu tu wakiita kwa oral ni siku tano tu.
 
Back
Top Bottom