Ni sahihi ndio maana hatujawahi kuona data base za wakufunzi wa vyuo na badala yake nafasí zinarudiwa kutangazwa.Kaka samahani lakini unanichekesha sana unaposema database ipo watu wamefaulu mitihani. Unajuaje kama upo database?
Kwa mfano mfamasia alifanya usaili wa ajira kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili akafaulu akabaki kwenye database na ikaja ikatokea nafasi ya mfamasia kwenda NAOT kama mkaguzi, unadhani mfamasia aliyefanya usaili wa Muhimbili anafit kwenda NAOT??
Hii nadharia ya database ukiiitafakari vizuri utagundua ni bora ufocus kwenye placement kutoka kwenye oral exams maana database hakuna uhakika kabisa. Kwanza hatujui nani yuko database nani hayuko. Pili database validity yake ni muda mfupi. A lot of guess work.
Yeah kujiandaa muhimuHahaha pole sn mkuu kikubwa fanya maandalizi mapema
Namwambia hilo, juzi tu hapa mwalimu wa kiume kalia kwa rais apate ajira ahudumie familia ya mapacha watatu, na mkewe ni mwalimu, yuko ajirani. Hela zao hao ni za kwao.Hahaha pole sn mkuu kikubwa fanya maandalizi mapema
Najua za juz yenyewe nilijiandaa mwezi mzma lakin nikakandwaWewe endelea kujiandaa,hakuna miujizA kuingia Oral, zaidi ya kujiandaa vizuri kabla, epuka maandalizi zima moto, fahamu tu wakiita kwa oral ni siku tano tu.
Mfano Mpimaji Ardhi anafit hapo pote NHC na Ruwasa maana jukumu lake la kupima Ardhi kwenye project za hizo taasisi ni hilo hilo.Kwanini unaona hawezi kufit? Mfamasia ni mfamasia tu, majukumu ya kazi ndo yataamua afanye jambo wangu kwa wakati gani.
Kuna mtu alifanya usaili wa NHC akakosa, akapata RUWASA kwa database.
Ndo hivyo mkuu matatizo yako ni fursa kwa mwingineNmeelewa sasa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Kwa hivyo hizi kazi za tutorial assistant na lecturer ukifaulu hamna cha database?Ni sahihi ndio maana hatujawahi kuona data base za wakufunzi wa vyuo na badala yake nafasí zinarudiwa kutangazwa.
Ila database kwa asilimia kubwa huwa ínatoka kulingana na majukumu yanayoshabihiana na sahili uliyofanya.
Sisi tuliulizwa maswali ya Ukaguzi pamoja na ya taaluma ila wengine waliofanya sahili za Hospital waliulizwa maswali ya Taaluma hasa yakibase kwenye mambo ya Hospital.
Ingawaje huwa kuna kujifunza/kufundishwa(Training) ila tuliofanya usahili wa Ukaguzi tulianza kujiandaa na concept za Ukaguzi tangu written na oral tulichapwa hayo maswali. Hadi hapo tulikuwa tushajua angalau Ukaguzi nini.
Acha kusoma, subiria tu shortlist Mungu atatenda.Najua za juz yenyewe nilijiandaa mwezi mzma lakin nikakandwa
Mkuu hii umetumia uzoefu wako tu, lakini duties zilizoainishwa NHC ni tofauti kabisa na za RUWASA.Mfano Mpimaji Ardhi anafit hapo pote NHC na Ruwasa maana jukumu lake la kupima Ardhi kwenye project za hizo taasisi ni hilo hilo.
SawaAcha kusoma, subiria tu shortlist Mungu atatenda.
Data base ni uhuni tu, haina maana yoyote ile.Mkuu hii umetumia uzoefu wako tu, lakini duties zilizoanishwa NHC ni tofauti kabisa na za RUWASA.
Yeah inasumbua toka mchanaWakuu website haifunguki au ni kwangu tu?
Duh hiyo web mpka inakoma maana sio kwa hao visitors hahahhaYeah inasumbua toka mchana
Mzigo wa 10MB unapakiwaWakuu website haifunguki au ni kwangu tu?
Mimi naona database ni nzuri na itasaidia kupunguza gharama kwa jobless Ila wajitahidi watoe matokeo ya oral na naamini kwa serikali ya mama Wanaajiri kila mara hivyo watu watachomoka wengi kupitia databaseData base ni uhuni tu, haina maana yoyote ile.
Jobless 1 anaweza kuingia mara 20 kwa siku times idadi y jobless hahaha hatariDuh hiyo web mpka inakoma maana sio kwa hao visitors hahahha
Hatar sanaDuh hiyo web mpka inakoma maana sio kwa hao visitors hahahha
Database ni nzuri ikiwa itatendewa haki na utartbu mzuriMimi naona database ni nzuri na itasaidia kupunguza gharama kwa jobless Ila wajitahidi watoe matokeo ya oral na naamini kwa serikali ya mama Wanaajiri kila mara hivyo watu watachomoka wengi kupitia database