_saul
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 257
- 520
💯 Kabisa kikubwa waboresheDatabase ni nzuri ikiwa itatendewa haki na utartbu mzuri
💯 Kabisa kikubwa waboresheDatabase ni nzuri ikiwa itatendewa haki na utartbu mzuri
Kutoa matokeo ya oral au kutokutoa haku-justify hilo la data base. Jiulize tu kwa nini usaili wa taasisi A haufanani na usaili wa taasisi B japo huchukua watu wenye qualification moja e.g economics.Mimi naona database ni nzuri na itasaidia kupunguza gharama kwa jobless Ila wajitahidi watoe matokeo ya oral na naamini kwa serikali ya mama Wanaajiri kila mara hivyo watu watachomoka wengi kupitia database
Subira itamalaki mkuu, tunaingia kwenye mrija kwa nyakati tofauti tofauti, tupo kwenye foleni, nafasi yako ikifika uingia kwenye pipa la Asali.Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?
- Likaibuka kundi la kutoa muongozo namna ya kujiandaa na kujibu maswali katika mtihano wa mchujo, videdea wakapata kazi, wanapita kwa kuchungulia sasa.
- Limepita kundi la kutoa mbinu namna ya kujibu oral, vinara wakapata kazi, tupo nao kwa uchacje sasa.
- Kumekua na kundi la kujadili status na maana zake baada ya oral, vinala wa mjadala mmoja mmoja wanachomoka.
- Sasa tupo katika mjadala wa mkeka wa sub, keka la database,.... Kila evolution na vinara wake, kitaeleweka.
Haika kaka, nina jambo langu nao hao, ntakuja shuhudia hapa this year.Subira itamalaki mkuu, tunaingia kwenye mrija kwa nyakati tofauti tofauti, tupo kwenye foleni, nafasi yako ikifika uingia kwenye pipa la Asali.
Nchi yetu hii foleni ndio jadi yetu na tumeizoea ingawaje huwa tunasuffer kweli kweli na hatuna namna.
Mapambano yaendelee
Duh oral tano sio poa ! Huyo anatutisha hata Sisi jobless tunaopasha misuli kuanza harakati za kukimbizana na utumishi mwaka huu ,damn ! Oral tano na bila bila , mhhHuyu bwana wampe kz aisee sio poa kbsa oral 5 dah
Hata huyu atapotea tu, tutaanza kumsoma kule kwa rikiboy, kula kimasikhara, ngoja aanze zile ziara za kikazi. 🤪Katika walamba asali wote tumebaki na @mwifa tu...
Malalamiko yametamalaki kwa majobless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katika walamba asali wote tumebaki na @mwifa tu...
Hadi sasa hatujawahi kuona Data base yao badala yake huwa tunaona re-advertise. Kwa hiyo tunaweza kuhitimisha kuwa hakuna database ya Wakufunzi.Kwa hivyo hizi kazi za tutorial assistant na lecturer ukifaulu hamna cha database?
Naona ili kuondoa sintofahamu matokeo ya oral yawekwe hadharani kama written Tu ,Yan ni huzun na doubts kibao Borea oral matokeo yatoke ajue amefeli
Lazima mtambue kuwa kuna watu wana uwezo mkubwa sana katika kuandika, lakini wanakosa kujiamini inapokuja swala la kujieleza/ku-mention kwa utumishi, ajipime, arekebishe madhaifu yake katika kuwakabili wakandaji katika Oral.Duh oral tano sio poa ! Huyo anatutisha hata Sisi jobless tunaopasha misuli kuanza harakati za kukimbizana na utumishi mwaka huu ,damn ! Oral tano na bila bila , mhh
Basi tuseme sio kila taasisi inaweza kupokea watu kutoka kanzidata.Mkuu hii umetumia uzoefu wako tu, lakini duties zilizoainishwa NHC ni tofauti kabisa na za RUWASA.
Zigo la dtabase mkuu linaoandishwa labda dah 😅Web haifunguki,vp tutegemee kitu?
Naomba kuulizia Kuna huusiani wowote kati ya website kutokufunguka na pdf?Web haifunguki,vp tutegemee kitu?
Malalamiko deliveredWeb haifunguki,vp tutegemee kitu?
Sijui kwa nini wanaficha ficha sijawaelwa kbsa hawa jamaa nia yao hasaMatokeo ya oral yaanikwe wazi ,pia na notification za mtu kuwekwa data base zianikwe ili ijulikane kama mtu yuko data base au hamna nadhani hii itakuwa ni jambo la maana sana hata kama watajichelewezha huko mtu kwa mfano ukijua uko data base au imefaulu oral kwa kiwango kipi unakuwa na amani hata kuendelea na ishu nyingine ,unajua ni suala la muda before wakupangie kazi
Huwa naanzia kupita hapa kabla sijaanza kupita majukwa mengine.Katika walamba asali wote tumebaki na @mwifa tu...
Kunakuwa kuna mambo yanapakiwa....Naomba kuulizia Kuna huusiani wowote kati ya website kutokufunguka na pdf?