HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kiukweli Sekta Binafsi ndiyo Sekta pekee inayochangia kiasi kikubwa kwenye Pato la Taifa. Kuwaingilia kwenye Utaratibu wao sidhani km ni kitendo Sahihi.

Mara nyingi Lengo Lao la kutafuta mtu ambae anakuja kuingia kazini Moja Kwa Moja hakuja haja ya Mafunzo (Kufundishana ni cha kufanya) ndy maana wanakuwa direct sn na hiyo Experience km ni MKURUGENZI bhs watapenda Experience yako iwe ya Ukurugezi

Ukirudi kwetu huku Kwanza Tangazo la Kazi lenyewe tu halijambagua mtu (Unakuta kuna mlundikano wa Kozi tofauti tofauti ambapo hata ukisema Experience mtu atakuja na Uzoefu wa Eneo lake ambapo linakizana Kabisa na Kada aliyoomba)

TAASISI BINAFSI tuwaache wafanye watavyo wao wanaInvest Pesa nying sn Kwa Ajiri ya kujitengenezea Faida lzm wazingatie Productivity ya Mtu wanaetaka kumuajiri
mfano kama watatengeneza huo muundo kwa ishu ya intern simansha wawakandamize sekta binafsi

wanaipa uhuru kila sekta kuweka vigezo vyake vya mtu wanaemhitaji kwenye intern
 
Shida sio nafasi shida ni kwanini Mtihani uwe Moja arafu uje utenge wa huku wa huku wa kule wa kule Wakati Marks zingeamua

Mfano kuna mtu anaweza kuwa kapata 60 huku na yupo database arafu kule kuna mtu ana 50 na karamba Asali (Km walitaka hiv wasingetufanyisha Mtihani Moja)
Kumbuka wana 21% katika kazi zote za muungano
 
Shida sio nafasi shida ni kwanini Mtihani uwe Moja arafu uje utenge wa huku wa huku wa kule wa kule Wakati Marks zingeamua

Mfano kuna mtu anaweza kuwa kapata 60 huku na yupo database arafu kule kuna mtu ana 50 na karamba Asali (Km walitaka hiv wasingetufanyisha Mtihani Moja)
Bara ushindani mkubwa sana. Wale jamaa marks zao zingelinganishwa na huku wasingetoboa na kumbuka lazima 21% yao ipatikane iwe jua I we mvua
 
Hahaaaa Mfwende ,jobless wenzio unatupa vijembe hivyo ? , Jeuri hii ukipata wapi ? 😃😃😃😃,au umekuja kitengo nini toka data bezi ?
Bongo hii ukiwa nje ya mfumo lazima ujae lawama,upauke kwa msoto. utanyamaza tu pale mambo yameenda upande wako,kijana niseme tu hakuna wakukusikiliza maoni yako kwa sasa endelea kupambana
vijembe
 
Tuliwahi kufanya usalihii chuo kikuu cha sua written tulifanya watu kama 200 hivi oral tukafanya 10 cha ajabu katika 10 hawa hakuna aliyeitwa kazini wakachukua ndugu yao aliyekuwa anajitolea ambaye written alifeli sasa sijui kama kumi bora wote tulikuwa hatuna uelewa alifeli written ndio ana uelewa mpana kuliko wale kumi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hii mwaka gani kaka, vipi kanzidata hakuna aliyepata?
 
Msgs zote hizi nkajua kuna watu wanatoa mrejesho wa kulamba asali....
Na wengine wanatoa pongezi kwa walambaji wapya wa asali in town
Pole sn mkuu keka lenu la nov lipo soon linatoka
 
Marekebisho kidogo Zanzibar Wana ZRB (Zanzibar Revenue Board) na overseas wao bado ni HQ (TRA ya Mapato House)

Bahati Mby zaidi hicho KiPDF cha Kipemba kilinishangaza Sana. Maana last time(PDF ya April 9 2022) kulikuwa hakuna kitu km hicho sababu Miongoni mwa walioramba Asali wapo walioajiriwa huko Zanzibar (Sijajua Upande wa TMO lkn Custom Officer wapo) .

Mashaka yanakuja PDF la written kutoka nahisi lilitaka watu wote waliofanikiwa kupata Pass Mark Watafanya ORAL interview DODOMA (Japo Sahili za mchujo Kwa wote zilifanyika Kikanda nao Zanzibar walipata nafasi hiyo) km nipo sahihi nahisi hakuna Oral iliyofanyika nje ya Dodoma (,sidhani km znz walifanyia znz) yote 9 kutoa PDF ya Kipemba sio Shida tatizo ni kwanini hakuna Jina la Kikristu kwenye PDF Yao (Swali Je watu waliofanya kutoka Zanzibar wote ni waislamu , Je Zanzibar ni Non Secularism state kitu ambacho sio Kweli 7b kule Piah kuna makanisa)

Na Swali lako la Utofauti Kati ya ZRB na TRA (Upo lkn ni mdg sn na mara nyingi upo Kwenye Baadhi ya tozo ambazo utozwa Zanzibar huku bara hazipo) lkn maslai ya TAASISI na utendaji Kazi wote wapo sawa
Taasisi inaendeshwa kisiasa sana, na hili swala litatugawanya waendelee na huu ujinga tu
 
Back
Top Bottom