Tuoneshe hawo wengi waliofanya ya TRA na wakakosa na majina yao?? Stop complaining mazee!!Bhn kuna wakristu kibao tu wanaishi Zanzibar ndy najiuliza ilikuwa Je kuwa Je
Tuoneshe hawo wengi waliofanya ya TRA na wakakosa na majina yao?? Stop complaining mazee!!Bhn kuna wakristu kibao tu wanaishi Zanzibar ndy najiuliza ilikuwa Je kuwa Je
Turudi Nyuma tuangaliane sisi wenyewe Kwa wenyewe Kwenye Kazi za Serikalini Binafsi nisingetamani Kuona kitu kinachoitwa Experience maana hii kuna Watoto wa Maskini tutakosa kabsa maana hata pakujishikiza tumekosa mazingira tunayoishi hakuna Fursa nyingine zaidi ya KILIMO pekee yake uoni kuwa tutashindwa kuwa shortlisted.sio aliefeli oral apite aachwe aliefaulu
me namansha mchujo ungeanzia kwenye ku shortlist
nikatoa mfano kuna kazi me wakat namaliza chuo nliomba ilikua inahitaj experiene ya 3 years me nkaomba nikaja nikatoswa na wakaniandikia sababu sikuwa na experience ya 3 years
huon hiyo methodology inasaidia kupunguza mrundikano wa kuita watu wengi kwenye saili????
We hapo umeandika nini? Labda naweza kuelewa ulichotaka kumaanisha.Tuoneshe hawo wengi waliofanya ya TRA na wakakosa na majina yao?? Stop complaining mazee!!
Ni notes za darasani zile za mwanafunzi anayetafuta course work.Unaongea nn kijana?zile pepa za utumishi zinapima exprience?au ni notes za darasani umeze ukafaulu
hoja yako inasound vizuri sana na nimekuelewaTurudi Nyuma tuangaliane sisi wenyewe Kwa wenyewe Kwenye Kazi za Serikalini Binafsi nisingetamani Kuona kitu kinachoitwa Experience maana hii kuna Watoto wa Maskini tutakosa kabsa maana hata pakujishikiza tumekosa mazingira tunayoishi hakuna Fursa nyingine zaidi ya KILIMO pekee yake uoni kuwa tutashindwa kuwa shortlisted.
Alisema vyuma vya moto huko Mkuranga viwandaniUlisahau kuwa ulituambia Wewe ni Mbeba Cement huko kiwandani 😅😅😅
Kuhoji lazima so kwako unaona kilichofanyika ni sawa?Kuna mtu humu analaumu hao wanzibari wamepewa hizo nafasi, yeye kaingia kwenye usaili nafsi zipo zaidi ya 25 kashindwa kutoboa sas analaumu hizo nafsi 3 wa wapemba...tuache hizi mambo tupambane
Kama Wamefaulu Usaili Haina Shida Ila Kwanini Wawe Zanzibarian Only.We hapo umeandika nini? Labda naweza kuelewa ulichotaka kumaanisha.
Yani niende kwenye Sahili niwe busy Kukariri Jina la Mtu Upuuz huu sinaga.
Ieleweke kwenye hizi kazi mtu yoyote anaweza kupangiwa Popote katika hii Nchi
Mkitaka hivyo Bhasi hata tuliofanyia Interview Kanda ya Ziwa tungeomba kuwa na PDF Letu.
Hicho kitendo cha kuwatenga Wazanzibar Kivyao wakati tulifanya Mtihani Moja ni UBAKAJI WA KIMUUNGANO
nadhani ni kwa sababu ya mabadiliko ya muundo wa taasisi kutoka ZRB kwenda ZRA. yaliyofanyika hivi karibuniSidhani km kuna mtu analaumu watu kupata nafasi lkn wangefanya km last time ( ndy unajua wataoenda Zanzibar lkn wachanganye kweny PDF Moja na Majina Yao yakiwemo) ss hii ya kutoka kivyake vyake ndy watu wanadought wkt Usahili walifanya Pmj
Ila kwa uhalisia Wazanzibar bado wanachukua nafasi ndogo tu ya ajira nafikili watu wasiumie wazanzibar ndio wa kulalamika nafasi zao ziongezekeKuna mtu humu analaumu hao wanzibari wamepewa hizo nafasi, yeye kaingia kwenye usaili nafsi zipo zaidi ya 25 kashindwa kutoboa sas analaumu hizo nafsi 3 wa wapemba...tuache hizi mambo tupambane
Kiukweli Sekta Binafsi ndiyo Sekta pekee inayochangia kiasi kikubwa kwenye Pato la Taifa. Kuwaingilia kwenye Utaratibu wao sidhani km ni kitendo Sahihi.hoja yako inasound vizuri sana na nimekuelewa
sasa ili kubalance mambo kwa ushaur wangu utumishi watengeneze muundo ambao sekta zote za umma na binafsi kama wanauhitaji wa watu wanintern zipitie utumishi pawepo nabonline exams mtu akipass anapangiwa kituo cha intern
huku kwenye ajira rasmi inakuwa na utartibu wake kwa kigezo cha uzoefu hata miaka liwili basi sio mbaya
Leo kasema ana Diploma + Bachelor + Masters + CPA au kasahauAlisema vyuma vya moto huko Mkuranga viwandani
Wanapate nafasi ndogo wakati interview ni competence basedIla kwa uhalisia Wazanzibar bado wanachukua nafasi ndogo tu ya ajira nafikili watu wasiumie wazanzibar ndio wa kulalamika nafasi zao ziongezeke
Ilo ndy tatizo Sasa kufaulu hakuna shida lkn kuweka Wao Pekee Yao ndy shida ilipo (Tena ni km kumpa mtu kituo cha Kazi bila kufika kwenye Induction Course) maana waliopata huku TRA mpk ss hakuna anaejua anapangiwa wapi.Kama Wamefaulu Usaili Haina Shida Ila Kwanini Wawe Zanzibarian Only.
Kwa Uzoefu Wangu Zanzibar & Pemba Ni Ngumu Kwa Watumishi wa Serikali Especially (Wabara).
Kufanyaa kazi Kwa Utulivuu Muda mwingi wakipata kazi Kwa Nafasi Za Serikali Wao Ni Kuforce Mpka Kieleweke Au Pachimbike Aje Kufanya Kazi Bara.Hiyo Ni Usimbufu Kwa System.
Ndio maan Wazenji Kwa Kazi Zinazowahusu Huko Kwao Na Wakiwa Wanahitajika Na Wabara.
Wao Hupewa Kipaombele Kuliko Wabara.
Iko Applied Ivyo Mpaka Kweny Vyombo Vya Ulinzi.
Ukiona Mbara Ametulia Huko kwa Taasisi Ambayo Anaweza Kuja Kufanya Kazi Bara Bahc Jua Amepambana Kwa Muda mrefu Kuhusu Uhamisho Kuliko Kufanya Majukumu Yake Inavyotakiwa na Amekosa So Atafungua Moyo Na Kuendelea Kuwa Huku Maybe Miaka 5 Baadaa Ya Kupata Ajira na Kuona Mazingira Hayamfaia Na Amekosa Uhamisho.
Ila Wazenji Wanatulia sababu Ni Kwao Na Hawaleti Usumbufu.
Mtu Yupo Radhii Akatwe Hata 200k Kwenye Slip Yake Ili Tu Arudi Kuja Kufanya Kazi bara na Uhamisho Na Gharama Pia kwa Serikali Unalipwa Allowance.
Shida sio Ufaulu Tu Umepata 98 Oral Na Mwingine 80. Ila wa 80 Anaendaa ww Unasubiri kuna criteria nyingine wanangalia Ndio maan majibu Ya Oral Ni Confidential.
Kazi ipo? Kweli Kweli tuendeleeni kupambana tu huko tuassume ni Nchi nyinginenadhani ni kwa sababu ya mabadiliko ya muundo wa taasisi kutoka ZRB kwenda ZRA. yaliyofanyika hivi karibuni
Kwann wasiwe wanawachukua hao watu tu moja kwa moja bila kusumbua watu kwenda usaili?? Nauli + muda wetu lkn pia na stress kama hizi kusubiri mieiz mitatu kumbe wana watu wao[emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]Tuliwahi kufanya usalihii chuo kikuu cha sua written tulifanya watu kama 200 hivi oral tukafanya 10 cha ajabu katika 10 hawa hakuna aliyeitwa kazini wakachukua ndugu yao aliyekuwa anajitolea ambaye written alifeli sasa sijui kama kumi bora wote tulikuwa hatuna uelewa alifeli written ndio ana uelewa mpana kuliko wale kumi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Shida sio nafasi shida ni kwanini Mtihani uwe Moja arafu uje utenge wa huku wa huku wa kule wa kule Wakati Marks zingeamuaIla kwa uhalisia Wazanzibar bado wanachukua nafasi ndogo tu ya ajira nafikili watu wasiumie wazanzibar ndio wa kulalamika nafasi zao ziongezeke
haha huku wanaruhusiwa bara kumiliki ardhi, bara hawaruhusiwi kumiliki ardhi zenjiKazi ipo? Kweli Kweli tuendeleeni kupambana tu huko tuassume ni Nchi nyingine
Ilo ss ndy tatizo ambalo limeoneka km taswira baada ya Ile PDF kutoka? Am not sure lkn nahisi kuna watu Wazanzibar walioramba Asali kweny PDF la trh 14 February 🤣🤣🤣haha huku wanaruhusiwa bara kumiliki ardhi, bara hawaruhusiwi kumiliki ardhi zenji
ndio muungano wetu huo