Ulisahau kuwa ulituambia Wewe ni Mbeba Cement huko kiwandani 😅😅😅- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya law
Jua kutofautisha kati ya kukariri na kuelewa. Uelewa wa mwanachuo huwezi kuulinganisha na uelewa mtu wa advanceKama kweli sasa mtu utakosa 50 kweli kwa maswali matano oral uliingiaje kwa mfano mtihani wa uchumi wa oral hata form five eca na egm na hge wanaujibu, maswali ya oral tra yakukosa 50, what is tax compliance, au afisa hesabu what bank reconciliation, payments vouchers, journal , ledger, hapana aisee written ulipitaje???
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Set ya maswali ya utumishi Oral hayapimi uelewa, ni kukariri kwako tu. Labda uje na hoja nyingine.Jua kutofautisha kati ya kukariri na kuelewa. Uelewa wa mwanachuo huwezi kuulinganisha na uelewa mtu wa advance
Hajui anachokiongea sasa unaulizwa what is tax evasion sasa hili swali lina kipimo cha uelewa gani? Aliyelewa na aliyekariri kwa swali hili wote mko sawaSet ya maswali ya utumishi Oral hayapimi uelewa, ni kukariri kwako tu. Labda uje na hoja nyingine.
Hili hili swali katika kujibu kuna ambao watajibu based na definition(wale waliokariri) na kuna ambao watajibu based na uelewa(ambapo siyo lazima iwe definition)Hajui anachokiongea sasa unaulizwa what is tax evasion sasa hili swali lina kipimo cha uelewa gani? Aliyelewa na aliyekariri kwa swali hili wote mko sawa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ndg akushike Mkono kabsa Mmmmmmh kuna muda uwaga tunakubali kukaa kmya tu na Kuacha Mungu atendee Miujiza yake sio kila Shida au Changamoto yako Unaweza iwakilisha Kwa ndg."Hata kwenye group la familia kaleft" Jaribu kumfuatilia hizo ni hasira na uchungu inawezekana kati yenu kamuona ana uwezo fulani ambao anahisi kabisa anaweza kumsaidia lakini inaonekana hawana msaada kwake/wamefunga vioo. Jaribu kuwa karibu naye au mshirikishe unayemuona kati yenu ana uwezo amshike mkono kabla mambo hayajawa mabaya.
Who is correctly???Hili hili swali katika kujibu kuna ambao watajibu based na definition(wale waliokariri) na kuna ambao watajibu based na uelewa(ambapo siyo lazima iwe definition)
Hiyo ni kwa upande wako, vipi kwa upande wa panelists, watatoa marks nyingi kwa yule aliyejibu kwa ku-base na definition au kwa huo "uelewa"?Hili hili swali katika kujibu kuna ambao watajibu based na definition(wale waliokariri) na kuna ambao watajibu based na uelewa(ambapo siyo lazima iwe definition)
Huyu mwamba anataka kutushika masikioHiyo ni kwa upande wako, vipi kwa upande wa panelists, watatoa marks nyingi kwa yule aliyejibu kwa ku-base na definition au kwa huo "uelewa"?
Nadhani hakuna tofauti na nilichoeleza hapo, ina maana huyo bwana mdogo ameona hilo na kaamua isiwe shida kaamua kuleft group la familia ambalo halina msaada na kukomaa kivyake huko.Ndg akushike Mkono kabsa Mmmmmmh kuna muda uwaga tunakubali kukaa kmya tu na Kuacha Mungu atendee Miujiza yake sio kila Shida au Changamoto yako Unaweza iwakilisha Kwa ndg.
Wengine kuiona Hela ya Ndg ni mpaka uwe na Shida ya Msingi na Mara nyingi ni hizi Nauli za Kuja kufanya interview (Lkn piah zisifatane maana ikitokea hivyo utachagua we mwenyewe ipi uache ipi ufanye) utachangisha ndg lkn Hela ni ya Sahili moja wengine ndy Kabsa hata Simu hazipokelewi (tunaonekana ni watu wa shida)
Ni kweli watu wa kilimo watakula shavu sana naona database itabeba watu wengi wa kilimo kada zingine sie za post moko moko tuendlee kusali na kuombaHuu mwaka kama nawaona watu wa agro - economic mtakula shavu sana, mliopo database coz nyie n vilaka sehemu nyingiii.
Na Kilimo pia bado kinataka watu wengi sana hizo miradi za kilimo huko vijijini n mingi sana hyo intake ya wizara ya kilimo iliyochukuliwa juzi naona haitoshi.
Nimejaribu kuwaza kwa sauti ni ubashiri wangu, Hebu wewe nipe wako.....
Marekebisho kidogo Zanzibar Wana ZRB (Zanzibar Revenue Board) na overseas wao bado ni HQ (TRA ya Mapato House)Kitendo cha TRA kutoa PDF nyingine inaakisi upuuzi unaoendelea huko.
Navyojua Zanzibar wana Revenue Authority yao inayojulikana kama ZRA.
SIJUI michakato ya hawa watu ya kuajiri wanafanyaje.
Mbili sijui utofauti kati ya TRA na ZRA.
Kwanini iwepo ZRA?!!! na je ZRA watu wa BARA wanaajiriwa huko?!!
Tunaburuzwa tuu.
Haya turudi ktk Placements 1700 hawa wanatuchukulia sisi wajinga sana? Ni kweli sisi ni wajinga hawajakosea tunalialia tu ktk keyboard nothing more.
Sasa kama post hizo ni za wazanzibari jina la kikistru litatoka wapi?au hujui kama majority ya wakazi wa zanzibar ni waislamu?Marekebisho kidogo Zanzibar Wana ZRB (Zanzibar Revenue Board) na overseas wao bado ni HQ (TRA ya Mapato House)
Bahati Mby zaidi hicho KiPDF cha Kipemba kilinishangaza Sana. Maana last time(PDF ya April 9 2022) kulikuwa hakuna kitu km hicho sababu Miongoni mwa walioramba Asali wapo walioajiriwa huko Zanzibar (Sijajua Upande wa TMO lkn Custom Officer wapo) .
Mashaka yanakuja PDF la written kutoka nahisi lilitaka watu wote waliofanikiwa kupata Pass Mark Watafanya ORAL interview DODOMA (Japo Sahili za mchujo Kwa wote zilifanyika Kikanda nao Zanzibar walipata nafasi hiyo) km nipo sahihi nahisi hakuna Oral iliyofanyika nje ya Dodoma (,sidhani km znz walifanyia znz) yote 9 kutoa PDF ya Kipemba sio Shida tatizo ni kwanini hakuna Jina la Kikristu kwenye PDF Yao (Swali Je watu waliofanya kutoka Zanzibar wote ni waislamu , Je Zanzibar ni Non Secularism state kitu ambacho sio Kweli 7b kule Piah kuna makanisa)
Na Swali lako la Utofauti Kati ya ZRB na TRA (Upo lkn ni mdg sn na mara nyingi upo Kwenye Baadhi ya tozo ambazo utozwa Zanzibar huku bara hazipo) lkn maslai ya TAASISI na utendaji Kazi wote wapo sawa
Kwa hiyo ufeli written tukuite kisa unauzoefu 🤣🤣🤣🤣🤣 wa kazi hiyo ebu acheni kupigia Upatu Uzoefu ni kuwanyima fursa Fresherskabisa mtu haiwezekani kamaliza zaman anafanya kazi sehemu labda kajishikiza au private anauzoefu wa miaka kama minne au mitano kazini
anaomba ajira utumishi anaitwa usaili anachinjwa written tu af kuna mtu amemaliza chuo mwaka huo hana hata exposure ya kazi anaitwa huo mwaka na anapata ajiraa
to be honest huyo mtu anakuwa hayupo competent kama huyu mwenye uzoefu wa miaka 4 au 5
Suala la msingi la kuhoji ni ufafanuliwe kwa nini wanzibari wapewe hizo nafasi wao kama wao na sio habri ya kutoona jina la kikristu...usaili wafanye mkoa uliojaa wamasai alfu uhoji mbona majina yote ni wamasaiMarekebisho kidogo Zanzibar Wana ZRB (Zanzibar Revenue Board) na overseas wao bado ni HQ (TRA ya Mapato House)
Bahati Mby zaidi hicho KiPDF cha Kipemba kilinishangaza Sana. Maana last time(PDF ya April 9 2022) kulikuwa hakuna kitu km hicho sababu Miongoni mwa walioramba Asali wapo walioajiriwa huko Zanzibar (Sijajua Upande wa TMO lkn Custom Officer wapo) .
Mashaka yanakuja PDF la written kutoka nahisi lilitaka watu wote waliofanikiwa kupata Pass Mark Watafanya ORAL interview DODOMA (Japo Sahili za mchujo Kwa wote zilifanyika Kikanda nao Zanzibar walipata nafasi hiyo) km nipo sahihi nahisi hakuna Oral iliyofanyika nje ya Dodoma (,sidhani km znz walifanyia znz) yote 9 kutoa PDF ya Kipemba sio Shida tatizo ni kwanini hakuna Jina la Kikristu kwenye PDF Yao (Swali Je watu waliofanya kutoka Zanzibar wote ni waislamu , Je Zanzibar ni Non Secularism state kitu ambacho sio Kweli 7b kule Piah kuna makanisa)
Na Swali lako la Utofauti Kati ya ZRB na TRA (Upo lkn ni mdg sn na mara nyingi upo Kwenye Baadhi ya tozo ambazo utozwa Zanzibar huku bara hazipo) lkn maslai ya TAASISI na utendaji Kazi wote wapo sawa