HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bora yenu nyie mna saili 2 sisi wenye 3 yani mpk utoboe tena huko oral daah shughuli nyingine aisee
Ukiwa 3 upo vyema Kaka si wengine sijui Tulisoma makozi gani Linabagua Post za kuomba.

Moyon uwaga nawazaga Kimya Kimya
Ilikupunguza Msogamano wa watu kwenye Usahili iwekwe Wazi Kazi ya TMO aombe aliesoma Taxation only Kazi ya Uchumi aombe aliesoma Uchumi iwe hivyo kwenye Kazi zote

Sio unaruhusu wote kuomba arafu Mwingne huko kwingine humruhusu kuomba kiukweli ili no tatzo.

Mfano
Mtu wa Uchimu anaruhusu kuomba Kazi ya Taxation

Lkn Mtu wa Taxation haruhusiwi kuomba Kazi ya Uchumi.

Hapa kuna Sehem uwaga naona haipo Sawa Kabisa.
 
wazee ujobless usitupeleke mpaka hatua ya kutukanana. nikweli ajira ngumu ,fursa adimu lkn tujiepushe na matusi ni hayo tuu
Hahaaaa 😃😃😃😃Watu wamerithi vyeo vya wababe wale malegendary jobless humu waliopata asali juzi kati hapa akina Yakunle na Kyagata , walikuwa watata wale wajomba 😆😆😆😆 🙈🙈🙈🙈 nilikuwa naangalia mizozo humu nacheka sana , argument kidogo tu ugomvi humu siku nzima , ila nadhani asali itawabadilisha ,tuvumiliane tu ni stress za ujobless hizi wakuu
 
kabisa mtu haiwezekani kamaliza zaman anafanya kazi sehemu labda kajishikiza au private anauzoefu wa miaka kama minne au mitano kazini

anaomba ajira utumishi anaitwa usaili anachinjwa written tu af kuna mtu amemaliza chuo mwaka huo hana hata exposure ya kazi anaitwa huo mwaka na anapata ajiraa

to be honest huyo mtu anakuwa hayupo competent kama huyu mwenye uzoefu wa miaka 4 au 5
uzoefu atapata kazini kaka.

Ukisema ivo basi usaili ufutwe ili waajiriwe waliomaliza siku nyingi.
Kitu ambacho sio fea kabisa.
ukiangalia nafasi zenyewe chache. Ni bora tuendelee kupambania hivihivi ukipata unashukuru na ukikosa basi shukuru pia.
Mi binafsi naona tatizo la psrs lipo kwenye. Kuchelewesha placement na transparency kwenye swala la oral interview results na database.
 
Back
Top Bottom