Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Ndo hvyo saili zinapofanyika ni maslahi kwa watumishi wa psrsAu itakuwa wanavyofanyisha saili kuna namna wanapata asali asali hv......maana sio kawaida
Itisha watu...mtu afanye usaili wa oral zaidi ya mara tano ....database ya nn sas hapo?