HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
msaka ajira mwenzangu,aliwacheki utumishi kwa phonecall wamedai hawafanyi kazi kwa tamko la mtu ama kiongozi fulani. wao wanafata sheria,taratibu na kanuni zilizopo. database kama ipo sawa awe anatembelea page yao huku pia asisite kuomba nafasi hizi zinazo tangazwa.
Duh?mbona wanaleta maneno mengi hao...mpaka boss kaongea inamaana kakaa na management...
 
Nitaangalia crteria zote kwa maana ya knowledge, skills, uwezo wa kiakili, urahisi wa kufundishika na kujifunza, compliance kwenye miiko ya udaktari, midnset ya kupanua wigo wa elimu na ujuzi etc. Huwezi kumchukua mtu aliyezoea kufanya kazi business as usual kwa kigezo cha experience ukaacha talented young doctors

Kumbuka, hata ukimchukua muuza bucha ukamuweka hospitali, mwisho wa siku atajua vitu vingi unaweza dhani ni daktari.

Angalia wafanya usafi wengi wa mahospitalini hua wanajua a lot of medical things.

mfano wako ni irrelevant mkuu
 
Kwa hiyo ufeli written tukuite kisa unauzoefu 🤣🤣🤣🤣🤣 wa kazi hiyo ebu acheni kupigia Upatu Uzoefu ni kuwanyima fursa Freshers
sio aliefeli oral apite aachwe aliefaulu
me namansha mchujo ungeanzia kwenye ku shortlist

nikatoa mfano kuna kazi me wakat namaliza chuo nliomba ilikua inahitaj experiene ya 3 years me nkaomba nikaja nikatoswa na wakaniandikia sababu sikuwa na experience ya 3 years

huon hiyo methodology inasaidia kupunguza mrundikano wa kuita watu wengi kwenye saili????
 
Back
Top Bottom