HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
uzoefu atapata kazini kaka.

Ukisema ivo basi usaili ufutwe ili waajiriwe waliomaliza siku nyingi.
Kitu ambacho sio fea kabisa.
ukiangalia nafasi zenyewe chache. Ni bora tuendelee kupambania hivihivi ukipata unashukuru na ukikosa basi shukuru pia.
Mi binafsi naona tatizo la psrs lipo kwenye. Kuchelewesha placement na transparency kwenye swala la oral interview results na database.
mambo mengine wanajitahidi japo weakness hazikwepeki.
 
Hahaaaa 😃😃😃😃Watu wamerithi vyeo vya wababe wale malegendary jobless humu waliopata asali juzi kati hapa akina Yakunle na Kyagata , walikuwa watata wale wajomba 😆😆😆😆 🙈🙈🙈🙈 nilikuwa naangalia mizozo humu nacheka sana , argument kidogo tu ugomvi humu siku nzima , ila nadhani asali itawabadilisha ,tuvumiliane tu ni stress za ujobless hizi wakuu
hahaaa
 
sio huruma serikali kwann ajira za afya wanaanza kuajiri kwa waliomaliza zaman kwanza na huwa wanasema kabisa

suala ni vigezo tu hata kupunguza mrundikano wa wtu kwenye saili
wawe wanaweka kigezo cha experience sio tu kuzoa zoa mtu kamaliza chuo mwaka huu nao umewaita wote kwenye usaili

kuna mwaka ndio nmemaliza chuo nmeingia utumishi naomba kazi ilikua inahitaj experience miaka 3 me nkaomba tu walinichinja wakanipa na reason kuwa sina uzoefu
sasa kwann na saiv wasiendelee na hicho kigezo ili kuwatoa kwanza waliokaa mtaani mda mrefu

nimewaza tu lkn kama mm
Naheshimu sana mawazo yako lkn mm naona sio sawa. Ikiwa utumishi watafanya hivyo watakua wamerudi nyuma hatua nyingi sana.
mambo ya Experience yataleta ujanja ujanja na ni vigumu kudhibiti ukweli wa hizo experience .
 
Nitaangalia crteria zote kwa maana ya knowledge, skills, uwezo wa kiakili, urahisi wa kufundishika na kujifunza, compliance kwenye miiko ya udaktari, midnset ya kupanua wigo wa elimu na ujuzi etc. Huwezi kumchukua mtu aliyezoea kufanya kazi business as usual kwa kigezo cha experience ukaacha talented young doctors

Kumbuka, hata ukimchukua muuza bucha ukamuweka hospitali, mwisho wa siku atajua vitu vingi unaweza dhani ni daktari.

Angalia wafanya usafi wengi wa mahospitalini hua wanajua a lot of medical things.
shikamoo 👏👏👏👏
 
Hahaaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Watu wamerithi vyeo vya wababe wale malegendary jobless humu waliopata asali juzi kati hapa akina Yakunle na Kyagata , walikuwa watata wale wajomba [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] nilikuwa naangalia mizozo humu nacheka sana , argument kidogo tu ugomvi humu siku nzima , ila nadhani asali itawabadilisha ,tuvumiliane tu ni stress za ujobless hizi wakuu
Umenikumbusha Kyagata Siku hizi hata kwenye uzi haonekani kabisa[emoji23][emoji23]
 
Wametoa tangazo la kazi institute of adult education alafu wakalitoa tena
Placement hawatoi kila saa re-advirtise na kutangaza kazi mpya huku database ipo watu wamefaulu mitihan

Kaka samahani lakini unanichekesha sana unaposema database ipo watu wamefaulu mitihani. Unajuaje kama upo database?

Kwa mfano mfamasia alifanya usaili wa ajira kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili akafaulu akabaki kwenye database na ikaja ikatokea nafasi ya mfamasia kwenda NAOT kama mkaguzi, unadhani mfamasia aliyefanya usaili wa Muhimbili anafit kwenda NAOT??

Hii nadharia ya database ukiiitafakari vizuri utagundua ni bora ufocus kwenye placement kutoka kwenye oral exams maana database hakuna uhakika kabisa. Kwanza hatujui nani yuko database nani hayuko. Pili database validity yake ni muda mfupi. A lot of guess work.
 
Kwanini unaona hawezi kufit? Mfamasia ni mfamasia tu, majukumu ya kazi ndo yataamua afanye jambo gani kwa wakati gani.

Kuna mtu alifanya usaili wa NHC akakosa, akapata RUWASA kwa database.
 
Kaka samahani lakini unanichekesha sana unaposema database ipo watu wamefaulu mitihani. Unajuaje kama upo database?

Kwa mfano mfamasia alifanya usaili wa ajira kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili akafaulu akabaki kwenye database na ikaja ikatokea nafasi ya mfamasia kwenda NAOT kama mkaguzi, unadhani mfamasia aliyefanya usaili wa Muhimbili anafit kwenda NAOT??

Hii nadharia ya database ukiiitafakari vizuri utagundua ni bora ufocus kwenye placement kutoka kwenye oral exams maana database hakuna uhakika kabisa. Kwanza hatujui nani yuko database nani hayuko. Pili database validity yake ni muda mfupi. A lot of guess work.
Kusema kwamba watu hamna database mmh siamini maana wazr alizngmza wazi kwamba kuna watu 1769 wamo humo database
 
Kwanini unaona hawezi kufit? Mfamasia ni mfamasia tu, majukumu ya kazi ndo yataamua afanye jambo wangu kwa wakati gani.

Kuna mtu alifanya usaili wa NHC akakosa, akapata RUWASA kwa database.

Mfamasia sio mfamasia tu kaka. Kuna mafamasia yuko vizuri kwenye Industrial Pharmacy na ni passion yake huko while mwingine anapenda Hospital Pharmacy na ni passion yake. Ninafikiri, hata wenyewe wanaangalia, kama uliomba slot ya hospital pharmacist wataplace iatakapotokea nafasi ya hospital pharmacist, na sio itakapotokea nafasi ya Tutorial Asistant wa Pharmacy au uende ukawe Drug Registration Officer wa TMDA wakati maswali ya panel yalihusu mambo ya hospitali.
 
Kwanini unaona hawezi kufit? Mfamasia ni mfamasia tu, majukumu ya kazi ndo yataamua afanye jambo wangu kwa wakati gani.

Kuna mtu alifanya usaili wa NHC akakosa, akapata RUWASA kwa database.
Kwahiyo sasa tunakubaliana kuwa kila PDF likitoka lazima udownload uliangalie hata kama hujaomba taasisi hiyo?
 
Kaka samahani lakini unanichekesha sana unaposema database ipo watu wamefaulu mitihani. Unajuaje kama upo database?

Kwa mfano mfamasia alifanya usaili wa ajira kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili akafaulu akabaki kwenye database na ikaja ikatokea nafasi ya mfamasia kwenda NAOT kama mkaguzi, unadhani mfamasia aliyefanya usaili wa Muhimbili anafit kwenda NAOT??

Hii nadharia ya database ukiiitafakari vizuri utagundua ni bora ufocus kwenye placement kutoka kwenye oral exams maana database hakuna uhakika kabisa. Kwanza hatujui nani yuko database nani hayuko. Pili database validity yake ni muda mfupi. A lot of guess work.
Umesoma kanuni za utumishi au unaropoka Tu.
Kanuni inaelezea hawapaswi kutangaza kazi za Kada ambazo watu walifaulu na wapi database. Na haiwezekani eti database iwe haina watu mfano accountant au HR watu wamepiga pepa wengi wamefika oral unataka kusema wote walifeli. Nini maana ya kanzidata sasa maana kufanyisha interview kila siku ni cost kwa graduate na serikali pia
 
Back
Top Bottom