Mbanti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 946
- 1,741
Bt msiwalaumu mabinti...Huyu binti nahisi bado mdogo sana na pia hajawai kutana na challenges za maisha pia inaonekana ana Back up nzuri akikwama kidogo kuna watu wanajazia vinavyopelea bado ana mambo mengi sana ya kujifunza kuhusu maisha na harakati za kijana wa kitanzania.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hustling zao ni tofauti kabisa na za wanaume...
Yeye anaweza bahatika akapata mwenza ambae tyr keshajikamilisha kwa nyanja zote
So aajiriwe asiajiriwe kwake binti sio ishu
Lkn hata malezi...wa kiume ukimaliza chuo kwenu hawawezi kuendelea kukutimizia mahtaji yako kwa kiasi kikubwa ila mabinti kwa kiasi chake wanatimiziwa hadi hapo watakapokuwa wameweza kusimama wenyewe au ndo wamepata wenza wao tofauti na mvulana uwe ushajiweza kusimama mwenyew au hapana lazima kijasho kianze kukutoka na usiombe wazee wawe kuna jina jamaa alitumia kule juu lmenitoka....kwamba mzee wake anamfanyisha kazi balaaa kuzidi hata wafanyakazi wake...huo ni ujumbe kwamba umekua sasa tafuta vyako[emoji85][emoji85]