HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tunahangaikia kutafuta ajira sababu wengi hatuna wa kutushika mikono private hatuna watu wala hatujulikani wazaz wetu fukara inabid utumishi wawe na utaratibu mzuri na mazingira wezeshi like good customer care service, transparency and accountability, fair and justice, time management na something like hizo but sijui wanakwama wapi
 
Utajuaje umebaki database au matokeo ya oral vipi.
Mimi naona wangekua wanatoa matokeo ya oral
Huez kujua lkn ilikua very simple Sana kiac huez feli labda watizame vigezo vingine.
Hili la kutoa matakeo kweli Lina umuhimu maana inakupa kujiamini zaid.

Wengi tu tunabashir Kwa kutumia status zinavobadilika.
 
Tunahangaikia kutafuta ajira sababu wengi hatuna wa kutushika mikono private hatuna watu wala hatujulikani wazaz wetu fukara inabid utumishi wawe na utaratibu mzuri na mazingira wezeshi like good customer care service, transparency and accountability, fair and justice, time management na something like hizo but sijui wanakwama wapi
kwanza saili zote zifanyike kikanda jamani maoni waliomba kuhusu hilo suala walishughulikie kwa uharaka sana asee mana tunatumia gharama kubwa sana wote kukutana eneo moja kwa ajili ya usaili
 
Nani huwa anakagua huko kwenye oral results kujua umepataje na nn kilifanyika??
Yaaan unakuta mtu kapiga oral hadi 3+ kweli jaman
Kla usaili anafanyaga na kufikia oral

Kwanza waanze kupunguza watu walomaliza vyuo miaka ya 2015 huko hadi 2019 kwanza
Watu watazeekea makwao[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
kabisa mtu haiwezekani kamaliza zaman anafanya kazi sehemu labda kajishikiza au private anauzoefu wa miaka kama minne au mitano kazini

anaomba ajira utumishi anaitwa usaili anachinjwa written tu af kuna mtu amemaliza chuo mwaka huo hana hata exposure ya kazi anaitwa huo mwaka na anapata ajiraa

to be honest huyo mtu anakuwa hayupo competent kama huyu mwenye uzoefu wa miaka 4 au 5
 
Tunahangaikia kutafuta ajira sababu wengi hatuna wa kutushika mikono private hatuna watu wala hatujulikani wazaz wetu fukara inabid utumishi wawe na utaratibu mzuri na mazingira wezeshi like good customer care service, transparency and accountability, fair and justice, time management na something like hizo but sijui wanakwama wapi
sema mzee baba umenichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ingawa umeongea point

umeona ufungue akaunt nyingine ili uje uteme nyongo yako kwa amani😂😂😂😂😂
 
Mkuu mbona sifa zote ninazo na vyeti vipo. Mwanzoni ilikua hainiletei hivyo Ila baada ya ku edit referees mmoja ndio nikaona inaleta hivyo nikaamua kurudisha Tena Kama mwanzo lakini bado naona inagoma
Ni system inazingua IT wa PSRS amejisahau kuset mitambo, hata ile ya mzumbe university ilikuwa inagoma imekubali siku 3 zilizopita.
 
kabisa mtu haiwezekani kamaliza zaman anafanya kazi sehemu labda kajishikiza au private anauzoefu wa miaka kama minne au mitano kazini

anaomba ajira utumishi anaitwa usaili anachinjwa written tu af kuna mtu amemaliza chuo mwaka huo hana hata exposure ya kazi anaitwa huo mwaka na anapata ajiraa

to be honest huyo mtu anakuwa hayupo competent kama huyu mwenye uzoefu wa miaka 4 au 5
Mkuu ukitegemea huruma katika maisha yako utateseka sana. Cha msingi pambana fanya maandaiz vizuri, muombe Mungu wako hakika wakati wako ukifika utapata tu
 
Kitendo cha TRA kutoa PDF nyingine inaakisi upuuzi unaoendelea huko.

Navyojua Zanzibar wana Revenue Authority yao inayojulikana kama ZRA.

SIJUI michakato ya hawa watu ya kuajiri wanafanyaje.

Mbili sijui utofauti kati ya TRA na ZRA.

Kwanini iwepo ZRA?!!! na je ZRA watu wa BARA wanaajiriwa huko?!!

Tunaburuzwa tuu.

Haya turudi ktk Placements 1700 hawa wanatuchukulia sisi wajinga sana? Ni kweli sisi ni wajinga hawajakosea tunalialia tu ktk keyboard nothing more.
ZRA inakusanya indirect tax tu na TRA inakusanya income tax tu. Kwa uelewa wangu
 
kabisa mtu haiwezekani kamaliza zaman anafanya kazi sehemu labda kajishikiza au private anauzoefu wa miaka kama minne au mitano kazini

anaomba ajira utumishi anaitwa usaili anachinjwa written tu af kuna mtu amemaliza chuo mwaka huo hana hata exposure ya kazi anaitwa huo mwaka na anapata ajiraa

to be honest huyo mtu anakuwa hayupo competent kama huyu mwenye uzoefu wa miaka 4 au 5

Experience sio competence kaka.
 
Sasa kama ana uzoefu kwa nn ashindwe written? Yani kisa graduate hana experience ndo asipewe kazi? Are you being fair mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom