HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa.

Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili.

Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:-

1. Background yangu i.e jina na elimu.
2. Experience kwenye similar duties and responsibilities kama za nafasi ambayo nimeomba.
3. Achievements kwenye nafasi ambazo nimewahi kufanya.

Nilipofikia hapa. Wakati najiandaa kuelezea skills na strengths (ambayo ndiyo nilipanga iwe part ya mwisho kwenye inro yangu) ambazo ninazo. Nikaambiwa thank you, lets go to second question.

Hapa wakuu walimaanisha nini?

Ufafanuzi wakuu.
Walimaanisha hawataki mambo mengi, walitaka mambo machache tu.

Mimi kwenye uzoefu nilitaja sehemu niliyofanyia mafunzo kwa vitendo, nikaishia hapo ingawa kulikuwa na sehemu nyingine niliyokuwa nimejishikiza(sikuitaja)

Then, uzoefu wataujua zaidi wakati unajibu maswali mengine ambayo mwngine ni ya Darasani.

Nashukuru Mungu maswali ya darasani(ya kada yangu) nilijibu vizuri hadi point zikawa zinamwagika zaidi ya 5 wanazotaka wao. Nikimaliza nawaambia tayari wananipa swali lingine. Sasa hapa kwenye kujibu haya maswali ambayo yalionekana ni vitendo tayari walijua nina kauzoefu fulani.

Ambao bado hamjawahi kufanya oral nawasihi muwe mnapitia huu uzi mnapata hints za kwenda kujibu oral
 
Nashukuru Mkuu....

Lakini kutaja elimu yako, experience na some achievements tu ambazo unazo tena kwa muda wa chini ya dakika 2 ni mambo mengi hayo?

Anyway, Mungu anajua zaidi na Pengine ngoja tusubiri Majibu
 
Wakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa.

Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili.

Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:-

1. Background yangu i.e jina na elimu.
2. Experience kwenye similar duties and responsibilities kama za nafasi ambayo nimeomba.
3. Achievements kwenye nafasi ambazo nimewahi kufanya.

Nilipofikia hapa. Wakati najiandaa kuelezea skills na strengths (ambayo ndiyo nilipanga iwe part ya mwisho kwenye inro yangu) ambazo ninazo. Nikaambiwa thank you, lets go to second question.

Hapa wakuu walimaanisha nini?

Ufafanuzi wakuu.
Nadhani muda uliotengewa kwa hilo swali ulikuwa umeshaisha.
 
kwenye panel yetu sisi tulikuwa limited kwenye kujibu hili swali. yaani hawataki useme vitu vingi sana.

Kwenye education background interviewer anakupa limits kuwa anzia level fulani hadi fulani...kwenye working experience napo anakulimit kuwa tunataka hivi na vile.

Nilikuwa nimejipanga kujibu kwa mtindo mwingine ambapo hapo kwenye experience ningeeleza vitu kadhaa...ila ikabidi ku switch kwenda kwenye muongozo wa interviewer.
 
Sisi hatukupewa limitations. Waliuliza swali na mtu inabidi ujielezee. Ndipo katikati ya maelezo wakanikatisha tu wakasema inatosha.
 
Haina effect kama utakuwa ulishagusia mambo wanayoyataka. Na mara nyingi hili swali nadhani wengi hulijibu vyema. Hata kama uligusia na mengine ila uligusa points zao.
Asante sana mkuu..
Sio mbaya nikajifunza zaidi kwa ajili ya kuelewa zaidi na kwa yule ambaye hii inaweza kumsaidia kesho.

Hayo mambo wanayoyataka ni kama yapi mkuu...kwa uzoefu na uelewa wako
 
Sina neno, najaribu kuimagine mbele ya panelist unasema hivyo I will just waste your time [emoji1787]
There is a way for it to be said politely so that the interviewer will not feel offended. It was said in the course of conversation. Not in rude or harsh manner...but it was in a situation where the interviewer was compelling me to answer the question three times. Strangely, i knew the answers but in that very moment they had vanished into thin air.

Have you ever found youself in a position where you know the answers but somehow you seem to have forgotten them? No matter how much you try to remember, it seems like a futile endeavor.

The answers flee from you into nothingness...However, as soon as you step outside the interview room the answers comes to you crystal clear.

My situation was one of those times...so i just told the interviewer politely that "madam i will just waste your time because it seems i am unable to answer the remaining 3 components.., the answers have escaped my mind. So i will politely pass."

The quotation might not be verbatim and might not reflect the exact words which were said as much time has passed since then.

The reason behind this whole thing was that, since three more questions were awaiting me..there was no need to be detained in much thinking of answers which where nowhere to be found at that moment.

Rather, i wanted to attempt the remaining questions so that i could save my time and theirs by allowing the next member of the panel to ask her question.

Be it as it may, it was my time and God wanted me to serve as a State Attorney. Just like Caesar Augustus said, "i came, i saw and i conquered". I don't know where this road will take me, but down the memory lane, it will be worthy to travel on...since God leads me.
 
Acha sifa, wakili msomi unamfundisha jinsi ya kuargue? Unaijua legal reasoning? Unaijua kozi inaitwa jurisprudence? Huwez kua smart kumzidi jamaa nakataa
- Mimi na CPA yangu namzidi huyo wakili wenu, Nina Diploma ya law,degree accounting,msc finance na CPA, hiyo jurisprudence nimeisoma kwenye diploma ya law
 
Back
Top Bottom