HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kama wataalam wa hiyo kada wapo database haina haja yakuitisha usaili mwingine. wachukue huko database tu watu wapate kazi...
Fikiria kwenye database kuna mtu ana passmark ya 50 halafu umeita interview kuna mwamba kacharaza 90. Hapo utachukua wa database au huyu mpya?
 
Fikiria kwenye database kuna mtu ana passmark ya 50 halafu umeita interview kuna mwamba kacharaza 90. Hapo utachukua wa database au huyu mpya?
Kanuni zinasema Kama database ina mtu utumishi hawaruhusiwi kutangaza tena ajira ya hiyo Kada.
 
Ondoa sana hofu ndugu, Mimi Kwa mara ya kwanza nimeingia oral interview mwaka huu hizi za TRA, na kwenye Hilo swali la tell us about yourself kimenitokea kama kilichokukuta, kabla sijamaliza swali nkaambiwa inatosha, lakini Mungu ni mwema pdf la placement nimo kama customs officer, Cha msingi maswali mengine uwe umejibu vizuri......Nakumbuka baada ya Ile oral nilikuwa Nina hofu kama wewe, maana mi nilianza kuelezea elimu kuanzia primary
Ubarikiwe sana mkuu
 
Mkuu ukitegemea huruma katika maisha yako utateseka sana. Cha msingi pambana fanya maandaiz vizuri, muombe Mungu wako hakika wakati wako ukifika utapata tu
sio huruma serikali kwann ajira za afya wanaanza kuajiri kwa waliomaliza zaman kwanza na huwa wanasema kabisa

suala ni vigezo tu hata kupunguza mrundikano wa wtu kwenye saili
wawe wanaweka kigezo cha experience sio tu kuzoa zoa mtu kamaliza chuo mwaka huu nao umewaita wote kwenye usaili

kuna mwaka ndio nmemaliza chuo nmeingia utumishi naomba kazi ilikua inahitaj experience miaka 3 me nkaomba tu walinichinja wakanipa na reason kuwa sina uzoefu
sasa kwann na saiv wasiendelee na hicho kigezo ili kuwatoa kwanza waliokaa mtaani mda mrefu

nimewaza tu lkn kama mm
 
Unaongea nn kijana?zile pepa za utumishi zinapima exprience?au ni notes za darasani umeze ukafaulu
Ndo mana kuna oral, kazi zinafundishika hata huyo asiye na experience akiwa trained vizuri ataweza perform... Cha msingi watu wapambane wavuke written either awe na experience ama asiwe na experience wakutane oral hio ndo fairness.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria kwenye database kuna mtu ana passmark ya 50 halafu umeita interview kuna mwamba kacharaza 90. Hapo utachukua wa database au huyu mpya?
kanuni zao zinasemaje. hawapaswi tangaza nafasi ambazo wataalam hizo nafasi wapo kanzidata. labda wafanye re-advertisement kama hao wataalam walifeli oral wote
 
Kwa hyo PDF ndo imegoma kuwa released au hadi Mosi April?
 
Fikiria kwenye database kuna mtu ana passmark ya 50 halafu umeita interview kuna mwamba kacharaza 90. Hapo utachukua wa database au huyu mpya?
Kabla ya kufikiria, kwanini uite interview wakati kuna aliyefaulu tayari yupo kanzidata.
 
mfano mtu ni doctor kajishikiza five years na mwingine kafanya intern one year to assume ww ndie utumishi unahitaji mtaalam wa afya utamchukua yupi kati ya hao wawili kuwa mkweli kaka

Nitaangalia crteria zote kwa maana ya knowledge, skills, uwezo wa kiakili, urahisi wa kufundishika na kujifunza, compliance kwenye miiko ya udaktari, midnset ya kupanua wigo wa elimu na ujuzi etc. Huwezi kumchukua mtu aliyezoea kufanya kazi business as usual kwa kigezo cha experience ukaacha talented young doctors

Kumbuka, hata ukimchukua muuza bucha ukamuweka hospitali, mwisho wa siku atajua vitu vingi unaweza dhani ni daktari.

Angalia wafanya usafi wengi wa mahospitalini hua wanajua a lot of medical things.
 
Mkuu watu wanaongelea madaktari, wewe unatoa mifano ya wafanya usafi[emoji119]
 
Ukiona hivyo ujue below 50 ilikuhusu.Anza upya jipange
Kama kweli sasa mtu utakosa 50 kweli kwa maswali matano oral uliingiaje kwa mfano mtihani wa uchumi wa oral hata form five eca na egm na hge wanaujibu, maswali ya oral tra yakukosa 50, what is tax compliance, au afisa hesabu what bank reconciliation, payments vouchers, journal , ledger, hapana aisee written ulipitaje???

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nani huwa anakagua huko kwenye oral results kujua umepataje na nn kilifanyika??
Yaaan unakuta mtu kapiga oral hadi 3+ kweli jaman
Kla usaili anafanyaga na kufikia oral

Kwanza waanze kupunguza watu walomaliza vyuo miaka ya 2015 huko hadi 2019 kwanza
Watu watazeekea makwao[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Kaka, muajiri hajali kama umemaliza zamani, wewe ni maskini sana wala nini. Yeye anajali skill set anayoitaka. Hayo mambo ya huyu kamaliza zamani yanaweza kuja ikiwa mmelingana alama na vigezo vingi wanaweza kumchukua bro kwa sababu dogo bado ana nafasi ya kupata nafasi nyingine in the future
 
Mkuu watu wanaongelea madaktari, wewe unatoa mifano ya wafanya usafi[emoji119]

Nasisitiza, experience sio kitu pekee muajiri anachoangalia. Kumbuka kwenye panel zote za utumishi kuna mwakilishi wa muajiri (technical person na HR). Kwa hiyo huyo daktari mwenye 5 years kama haba qualities nyingine ambazo young doctors fresh from internship wanazo, ataachwa tu kaka.
 
Ndo mana kuna oral, kazi zinafundishika hata huyo asiye na experience akiwa trained vizuri ataweza perform... Cha msingi watu wapambane wavuke written either awe na experience ama asiwe na experience wakutane oral hio ndo fairness.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufaulu sana pia sio kigezo mimi nilifanya usaili wa kada za ustawi wizara ya afya katika usaili niliongoza written kwa kupata 89 Kati ya watu 363 mwaka jana na oral ilikuwa fair sana

Lakini placement ilivyotoka sikupata kazi
 
Wakuu mimi ni mpya.
Nimehitimu 2021.
Sasa hivi ndio naweza kuomba ajira kupitia PSRS.
Nasubiri zitangazwe za kada yangu.

Nimesoma sehemu kubwa ya thread, nimejifunza mengi.
So nitakuwepo hapa mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom