Atalanta
Member
- May 25, 2022
- 79
- 259
Shukrani mkuu ngoja nijaribu TenaSystem kuna muda inacheza, fanya kuwa unajaribu kila baada ya muda flani. Hata mimi ilishawahi kunitokea ila badae ikakubali.
Shukrani mkuu ngoja nijaribu TenaSystem kuna muda inacheza, fanya kuwa unajaribu kila baada ya muda flani. Hata mimi ilishawahi kunitokea ila badae ikakubali.
Mkuu mbona sifa zote ninazo na vyeti vipo. Mwanzoni ilikua hainiletei hivyo Ila baada ya ku edit referees mmoja ndio nikaona inaleta hivyo nikaamua kurudisha Tena Kama mwanzo lakini bado naona inagomaHapo mkuu, qualifications zako haziendani na qualifications zinazotakiwa kwa hiyo post.
Dah hawez sema uongo bhana tusubir tuone leoWadau naona PDF la database tumeliwa vichwa
Hahahaha nmejaribu kumtafuta mhe waziri hata Twitter naona last twitte ni 2015 nikaishiwa nguvuWadau naona PDF la database tumeliwa vichwa
Nakumbuka swali LA utambulisho lilikuwa " Please tell us about your History, Education background and Work experience"Make mimi kwenye Oral interview niliyofanya jumla yalikuwa maswali matano plus ilo la kujitam
Hapana mkuu zinasainiwa kwa mkonoBarua zinakua signed automatically
Waziri yupi unanhitaji??Hahahaha nmejaribu kumtafuta mhe waziri hata Twitter naona last twitte ni 2015 nikaishiwa nguvu
Na mimi nilijubu kama wewe mkuu!Nakumbuka swali LA utambulisho lilikuwa " Please tell us about your History, Education background and Work experience"
Hapa jamii forum forum wadau wakasema uanze moja kwa moja elimu ya chuo na uzoefu kazini. Mimi nilipotafakari nikaona hili swali linahitaji vitu vitatu tofauti.
Nilielezea 1. Kuzaliwa
2. Elimu msingi hadi chuo
3. Uzoefu kazini
Nasubiri nione kama akili yangu itanipa kazi au akili ya wanajamii forum itanikoaesha kazi
Siku haijaisha...pia sidhani kama alikusudia lazima mkeka utoke mwezi wa pili alisema wataanza kuchukua wasailiwa waliofaulu kutoka kanzidata mwezi huu wa pili
- Itoshe kusema kuwa Waziri wa UTUMISHI amedanganya/ ametoa taarifa za Uongo kuhusu kuajiri watu 1700s,
- Waziri alitoa taarifa kufurahisha genge.
- acha kujipa moyo Kwa mambo ambayo hayawezekani, Kwa Akili ya Kawaida unadhani UTUMISHI wanaweza kutoa leo PDF lenye majina 1000s ?Siku haijaisha...pia sidhani kama alikusudia lazima mkeka utoke mwezi wa pili alisema wataanza kuchukua wasailiwa waliofaulu kutoka kanzidata mwezi huu wa pili
umetowa mawazo mazuri yenye faraja ama kweli, WEWE NI GENTLEMANMie kuna assumptions huwa nawaza.
Kama mtu umefaulu sana basi unawekwa pembeni kwenda kuziba nafasi fulani nyeti. (wale top wanatengwa).
Then wale wa kawaida wanapangiwa majukumu.
Nyie mliotengwa mnaweza kuwa mnafatiliwa kwa ukaribu ili mkajaze hizo nafasi ambazo hazikuwekwa wazi.
Hii inajumlisha na hatua zote za vetting... Wakijihakikishia huyu mtu yupo clear ndio unajiona umetokea ktk PDF let say Utumishi au taasisi zile nyeti kama Sekretariet ya maadili kwa viongozi wa umma etc.
Hayo ndio mawazo yangu..
So jitahidi uishi vzr ktk jamii kuanzia sasa.
Ni mawazo tu.
Sawa muhagama umeeleweka- acha kujipa moyo Kwa mambo ambayo hayawezekani, Kwa Akili ya Kawaida unadhani UTUMISHI wanaweza kutoa leo PDF lenye majina 1000s ?
Soma comment vzr ndo utoe maoni yako ...hapo nimesema lzm watoe leo?- acha kujipa moyo Kwa mambo ambayo hayawezekani, Kwa Akili ya Kawaida unadhani UTUMISHI wanaweza kutoa leo PDF lenye majina 1000s ?
hii ni fitna iliyolala usiiaamshe.Ilibidi nikachek upya, naona ni waislamu tupu mkeka mzima
HAO NI WAZANZIBAR na ambao wamepangiwa upande wa Zanzibar ndio maana umeona hivyo, use your brain, use your training, use your degree.Ilibidi nikachek upya, naona ni waislamu tupu mkeka mzima
kama ni hivi hatari inabid tuwe tunajiferishaNafikir sio kawaida, watu wengi walioongoza naona wanalalamika.
Nadhani uko sawa mkuu...maneno ya waziri haimaanishi ni sheria isiyobadilika..kama alisema ni mwezi wa pili na mazingira fulani huko serikalini yakasababisha isiwezekane hao watu kuajiriwa huo mwezi wa 2...Soma comment vzr ndo utoe maoni yako ...hapo nimesema lzm watoe leo?