Sina neno, najaribu kuimagine mbele ya panelist unasema hivyo I will just waste your time [emoji1787]Mkuu mbona kama kuna jambo unataka kusema, anyway, panelists wengi nao wamesoma shulenza secondary na vyuo vyetu vikuu hivi hivi vya kizalendo, tunaelewana tu na kingreza chetu cha kizalendo, na wao pengine wanabebwa kwa kuwa tu maswalu wanasoma. [emoji2957]