HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilifanya written nikarudi dar, nikaitwa oral nikarudi dodoma usiku usiku, nikikumbuka nilishinda njaa pale rose migiro, pambana sana na panel wasihisi mimi kilaza. Imepita miezi 9 bila placement kutoka...nahitaji mwanasaikolojia
Kwa kweli inaumiza sanaa hawajuagi tuu vile watu wanajitoa.
 
Kuna kila aina ya dalili mkeka wa pili kuanguka jion au usiku, jiandaeni kisaikologia🤔🤔🤔🤔🤔🤔.
Nilijua tu watatoa ya pili, ila pdf yenyewe ya kichoyo page 2 tu😥😥😥😥😥😥😥😥.
 
Au yule wa mwisho ndo huwa wakwanza na wakwanza ndo huwa wa mwisho🤔🤔🤔🤔🤔🤔.
Wengi wameza madesa huwa si wazuri sana kwenye kutema ung'eng'e na kuelezea mambo , so ni kawaida kukuta mtu kapiga 90 written by the way maswali mengi ya utumishi si competence based ,ni madesa tu ya darasani so wahamiaji wa madesa wanaweza otea na kubonda hata 90 ila oral kama hauko vizuri una umbuka
 
🤣🤣 sawa kaka.
 
Hahaaaa ,Kwamba wapige spana au sio ? , Ila huyo mwamba aliyepata mapacha wa nne huyo ,afunge kizazi kabisa la sivyo litamkuta jambo mara ya pili ,heheee jobless atapata mapacha wa nne mara ya pili huyo , na kitaa kulivyo kugumu huku lazima awe mwehu .
Jobless unapata wapi ubavu wa kupata mapacha? ,,😃😃😃😃
Ile habari imeniacha hoi sana, anyway, vijana wa kiume wajipange sana sasa, mama ana ajira, analalamika pesa yake tu kutumika kuhudumia familia.
 
Kama Wasomi tujipange kupaza sauti endapo hawa jamaa hawajaita watu mpk kufika tarehe 2/3/2023.

Tutumie platforms za social media kuchagiza hili swala.

Na CHADEMA sijui yanakaaga wapi huu ndii muda wa kuchukua point 3.. Wapige spana.
Piga spana piga spana mbona keka lingetoka na 1900 ili mpira urudi kwao..maana bila hivyo mpira hatutouona kati hata siku moja,utakuwa unachezewa kwetu tu
 
Ile habari imeniacha hoi sana, anyway, vijana wa kiume wajipange sana sasa, mama ana ajira, analalamika pesa yake tu kutumika kuhudumia familia.
Hahaaaa , hali mbaya mzee kitaa ,wengine tumejishikiza kwenye vibiashara vya wazee , ila wazee wengine mabandidu sana kama wangu ,mzee bahili ,katili ananitreat kama cheap labour flani hivi, unakuta unapiga mzigo kuliko wafanyakazi wake aliwaajiri halafu wewe hata posho kukupa mpaka umkabe ,nyie 😃😃😃🙈🙈🙈, sijui ananionaje aisee , upepo wenyewe wa biashara ndio huo wa kusuasua ,basi tafrani tupu .
Sasa imagine mtu hana hata mishe na anapata mapacha wa nne si balaa hilo .
Tupambane na utumishi
 
Back
Top Bottom