Yah kbsa tusiwe negative muda wote...tuwe na subiraNadhani uko sawa mkuu...maneno ya waziri haimaanishi ni sheria isiyobadilika..kama alisema ni mwezi wa pili na mazingira fulani huko serikalini yakasababisha isiwezekane hao watu kuajiriwa huo mwezi wa 2...
Basi hao watu wa kanzi data wanaweza kuendelea kuajiriwa hata miezi inayofata kwa vile maelekezo ya waziri bado ni halali.
Kwa hiyo hilo Pdf lisipoonekana leo..wadau waendelee kuwa na subira tu.
Hamna mwenye uhakika tunaishi kwa matumainiHivi mtu unakua na uhakika gani kua upo database
Noma sana,inabd wawe wanasema kama mtu kabaki database.Hamna mwenye uhakika tunaishi kwa matumaini
Status hazina means ya kumfanya user ajue endapo alifaulu usaili au hakufaulu. Hivyo jibu ni kama mdau alivyosema, hauwezi kujua kama uko kanzi data.Hivi mtu unakua na uhakika gani kua upo database
Nadhani uko sawa mkuu...maneno ya waziri haimaanishi ni sheria isiyobadilika..kama alisema ni mwezi wa pili na mazingira fulani huko serikalini yakasababisha isiwezekane hao watu kuajiriwa huo mwezi wa 2...
Basi hao watu wa kanzi data wanaweza kuendelea kuajiriwa hata miezi inayofata kwa vile maelekezo ya waziri bado ni halali.
Kwa hiyo hilo Pdf lisipoonekana leo..wadau waendelee kuwa na subira tu.
Hivi Mimi Mbara naweza naweza kuajiriwa Zanzibar ajira za serikali ya Mapinduzi?Sidhani kama kuna date base tena jana tra Zanzibar imenistua
Kauli ya Waziri wa UTUMISHI ilisemaje? Hivi hutaki kuamini kwamba Mawaziri/ politicians sometimes huwa wanadanganya?Soma comment vzr ndo utoe maoni yako ...hapo nimesema lzm watoe leo?
Kwa yale mambo yaliyo katika mungano, ukiajiriwa unaweza pangiwa tu huko.Hivi Mimi Mbara naweza naweza kuajiriwa Zanzibar ajira za serikali ya Mapinduzi?
Duuh mbona kama umepanick mkuu. Haunijui, sikujui. Tuko hapa ku socialize. Nilikuwa natoa tu maoni yangu mkuu. Kama yamekukwaza basi niwie radhi. Usini attack personally...haunijui mkuu.
- Yaani na wewe unarukia hoja hata bila kuelewa Waziri alisemaje,
- Waziri alitoa commitment kwamba mwezi huu wa pili watachukua watu 1700s kutoka database, hiyo Kwa tafsiri ni commitment tayari
- Hayo mazingira unayosemea kutoka huko serikalini umebambikwa na Nani? ni hadi tena Waziri aje atoe sababu ya kutoajiri watu 1700s usimsemee Waziri/ Wizara, je kama Waziri alitoa taarifa ya Uongo?( Kwa sababu Mawaziri kuongea Uongo sio jambo la ajabu hapa Tanzania)
- Kwa hoja zako zilivyokuwa dhaifu, halafu 'naambiwa ' wewe umekuwa mwendesha mashtaka ni Utopolo mtupu, ukikutana na kina Kibatala,Dickson Matata, nadhani hutaweza kujibu hata Hoja moja!
Huyo jamaa ana dharau kk...fuatilia comments zake huko nyuma ndo utajua ni mtu wa sampuli ganiDuuh mbona kama umepanick mkuu. Haunijui, sikujui. Tuko hapa ku socialize. Nilikuwa natoa tu maoni yangu mkuu. Kama yamekukwaza basi niwie radhi. Usini attack personally...haunijui mkuu.
- jitahidi ujue argumentative skills zitakusaidia huko mahakamani, msije mkaitia hasara serikali, poor argumentative skills.Duuh mbona kama umepanick mkuu. Haunijui, sikujui. Tuko hapa ku socialize. Nilikuwa natoa tu maoni yangu mkuu. Kama yamekukwaza basi niwie radhi. Usini attack personally...haunijui mkuu.
Uliweka mambo mengi mkuu wale wanatka straight and clear pointsWakuu wenye uzoefu na mambo ya usaili hebu wanipe ufafanuzi hapa.
Nilipiga Oral sasa lile swali la INTRODUCE YOURSELF kuna wakati nilifika nikaambiwa ENOUGH...Twende swali la pili.
Mpaka naambiwa its enough, nilikuwa nimeelezea vitu vifuatavyo:-
1. Background yangu i.e jina na elimu.
2. Experience kwenye similar duties and responsibilities kama za nafasi ambayo nimeomba.
3. Achievements kwenye nafasi ambazo nimewahi kufanya.
Nilipofikia hapa. Wakati najiandaa kuelezea skills na strengths (ambayo ndiyo nilipanga iwe part ya mwisho kwenye inro yangu) ambazo ninazo. Nikaambiwa thank you, lets go to second question.
Hapa wakuu walimaanisha nini?
Ufafanuzi wakuu.
Tra sio ya Muungano mkuu?Kwa yale mambo yaliyo katika mungano, ukiajiriwa unaweza pangiwa tu huko.
Ni muungano mkuu, mistakes tu zile.Tra sio ya Muungano mkuu?
Hapo ndo utata unapokuja sa,ni kama za mchongo fulani,hapo ndo wenye connection wanapopenyeaStatus hazina means ya kumfanya user ajue endapo alifaulu usaili au hakufaulu. Hivyo jibu ni kama mdau alivyosema, hauwezi kujua kama uko kanzi data.
Kama ni Muungano placements zao zilipaswa kutoka siku Moja na zile za mwanzo.Ni muungano mkuu, mistakes tu zile.
kuna bwana mmoja alijisemea humu ishi kwa akili. 😀😀😀😀😀humu tunapotezana sometimes me pia nimetafakari sana hiyo kauli humu ni kuchuja na kuchambua vingine sio kupokea tu
Pamoja sanaNa mimi nilijubu kama wewe mkuu!