Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,544
- 5,670
Kumbe leo ni mwisho wa mwezi duh sikulifahamu ilo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hizi za MDA Siku yetu tulifanya oral walisema baada ya wiki tatu
Mkuu usiwe wale wanatoka kwenye mtihani wanakwambia sijajibu maswali yote afu unafika wakati wa matokeo karatasi lake ndio linatumika kama mfano darasani.ha ha ha, nikikumbuka my moment kwenye panel..nilikuwa natumia trick moja....akishauliza swali naanza kulitafakari fasta na ku formulate majibu halafu kabla sijajibu...namuambia interviewer arudie tena swali...."please come again.."
Anapoanza kusoma tena swali...nakuwa napata wasaa wa ku process swali upya kuwa nimelisikia vyema na majibu niliyo formulate ndiyo yenyewe..then natiririka.
Kuna moja la kutaja mambo matano..mimi nikaishia kwenye mbili tu. Interviewer ananishawishi niendelee kutaja kwani hivyo vitu ni virahisi sana...wakati huo mimi majibu yamesha evaporate...ila majibu nayafahamu lakini najikuta nimesahau na siwezi ku recall pale.
Nikamchana tu interviewer kuwa hilo swali nimeishia hapo next question please...akanishawishi tena kuwa taja mbona ni rahisi! Nikamwambia i will just waste your time...hata kama ungenipa masaa sitoboi..nimestuck.
Hiyo hali ya kushindwa kujibu vipengele vyote vitano vya swali lile ilinitesa soon after oral nikawa napata hisia kuwa nimeshaharibu. Ilichukua siku kadhaa kuisha.
Ila Mungu ni mkuu...nilifaulu usaili and the rest is history.
Process zipi hizo?Ila kiukweli utumishi wakati mwingine tusiwalaumu wana kazi nyingi.
Mapaka wanapost placement majina yanapitia process nyingi ukifikiria barua zote zinasainiwa na mtu mmoja apo kazima tuwe Walpole.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sidhani kama kuna date base tena jana tra Zanzibar imenistuaPlacement la DATABASE Jaman mwezi umeisha
Please excuse me " I beg your pardon Sir /madam " ,Naam..."please come again" meaning tafadhali rudia tena.
Hiyo mbona inashahabiana kabisa, hiyo ngoma ukipiga fresh unaingia ndani kabisa.Mkuu namie nakuuliza swali hapo hapo.
Mfano kama post inataka bacheor's degree in electrical engineering or equivalent na mie nimesoma bachelor's degree in electrical and electronics engineering,
Nikafanikiwa kuitwa katika usaili wa kuandika nikafaulu nikaingia mpaka oral.
Je katika placement wanaweza kunichukua ikiwa nitafaulu oral.
Ukizingatia niliidanganya system kwa cheti changu kiliandikwa bachelor's degree in electrical and electronics engineering make ukizingatia system kama system haitambui equivalent qualifications katika uombaji ijapokuwa katika post waliandika na equivalent qualifications?
Kama ulishajaribu kufika ad mwisho alaf umerud nyuma inagoma bas shida ni wao jaribu kwenda office zao watakusaidiaWakuu mbona nikitaka ku aplly nafasi ya kazi ajira portal inanigomea Kuna mtu aliyewahi kukutana na changamoto Kama hii, nimejaribu kuwapigia sim kwa kupitia namba iliyopo kwenye website yao lakini simu inaitaga weeeeee haipokelewi. Sifa na vigezo vyote ninavyo, Mwanzoni haikua inagoma ilikua inafika Hadi sehemu ya mwisho ambayo ilinitaka niweke barua ya maombi ya kazi Sasa kabla ya ku attach barua nikasema ngoja ni edit referees nilivyo edit tu ndio likawa kosa. Msaada kwa anaejua tafadhari
Au kuna mtu aliwahi kupata kazi ya equivalent qualifications?
Shukran sana mkuu umenitoa tongo tongoHiyo mbona inashahabiana kabisa, hiyo ngoma ukipiga fresh unaingia ndani kabisa.
Fuatilia Mikeka ya ASA, Mchumi ii, Agri. Officer, waliitwa equivalent wengi na nadhani wengi wamepata ajira, wengine wakisubiri kuitwa kazini.
Mfano kuna jamaa yangu kapiga B.Sc AEA, lakini aliitwa kwenye interview ya Agric. Officer za juzi, sema hakwenda, naona kanogewa na kupiga chaki huko private.
Mimi mwenyewe kuna kazi zilitoka, prog. Yangu ni miongoni mwa wenye sifa lakini ilipigwa pini nadhani na code za IT wa PSRS, nilipiga simu PSRS, mwisho wa siku ilifunguliwa na juzi hapa nimemaliza Oral, na Mungu akijalia nitalamba asali.
Pia admin wa utumishi alisema, badilisheni Prog. Ili application iruhusiwe, ndiyo kama hiyo ya kudecoy system.
Mm nlkuw najidanganya kwamba mwisho wa mwez huu ni 29 kumbe ni leoKumbe leo ni mwisho wa mwezi duh sikulifahamu ilo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hamna bhanaIla kiukweli utumishi wakati mwingine tusiwalaumu wana kazi nyingi.
Mapaka wanapost placement majina yanapitia process nyingi ukifikiria barua zote zinasainiwa na mtu mmoja apo kazima tuwe Walpole.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
hicho nilichoandika ni paradox... kama mtaalam wa Lugha utakuw umenielewa vilivyoWe jamaa unasema wanaharakati uchwara wakati huo huo unataka wakusaidie kupaza sauti, sasa si bora watafutwe wanaharakati halisi walivalie njuga.
unamansha atoke mkoani aende dodoma kuuliza 😂😂😂😂Kama ulishajaribu kufika ad mwisho alaf umerud nyuma inagoma bas shida ni wao jaribu kwenda office zao watakusaidia
Ila kiukweli utumishi wakati mwingine tusiwalaumu wana kazi nyingi.
Mapaka wanapost placement majina yanapitia process nyingi ukifikiria barua zote zinasainiwa na mtu mmoja apo kazima tuwe Walpole.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Yaaan wao tu ndo wanafanya vitu kuwa vigumuBarua zinakua signed automatically