HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mrejesho

Jamani nimekosa nafasi kwenye mkeka uliotoka leo.

status kwenye web na app; selected for oral interview.

nakumbuka written nilipata 80+, prac 75+ , oral nilijibu maswali yote kwa usahihi tena yale ya taaluma sikuacha ata point.

Nimekandwa, labda ntaponea kwenye mkeka wa database.

nimekata tamaa kufanya interview za utumishi.
Mie kuna assumptions huwa nawaza.

Kama mtu umefaulu sana basi unawekwa pembeni kwenda kuziba nafasi fulani nyeti. (wale top wanatengwa).

Then wale wa kawaida wanapangiwa majukumu.

Nyie mliotengwa mnaweza kuwa mnafatiliwa kwa ukaribu ili mkajaze hizo nafasi ambazo hazikuwekwa wazi.

Hii inajumlisha na hatua zote za vetting... Wakijihakikishia huyu mtu yupo clear ndio unajiona umetokea ktk PDF let say Utumishi au taasisi zile nyeti kama Sekretariet ya maadili kwa viongozi wa umma etc.

Hayo ndio mawazo yangu..
So jitahidi uishi vzr ktk jamii kuanzia sasa.

Ni mawazo tu.
 
Faamasiala nn...[emoji36]
Screenshot_20230227-193319_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom