HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.

Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
Amen, hongera na tuendelee kuombeana kheri. Wasalimie Dodoma huko...
 
PDF la Nov 28 naona limetoka ila zile kada pendwa za wengi humu hamna hata moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja kwanza nicheke maana hata nikilia ni yaleyale tu
Mzee najua upo hapa,Tuvute subra na sisi,leo TAEC tayari amechomoka.
TAEC💥💥
ARIMO
OUT
IAA
RUWASA
SUA
MoCu
TMC
November 28-December 01/2022
Wkingz mzigo wa TAEC umeona...
 
Back
Top Bottom