Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,552
- 5,676
Wakuu nani anafahamu mishahara na allowance za MDH kwa kada ya DATA Officer.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

subiri tuoneNaona leo dalili ya placement hakuna tusubir kesho funga mwez wako kwenye maandaliz ya kupokea uongozi mpya
Wanaanza na laki 6 na ushee! Take home 530 hivi.Wakuu nani anafahamu mishahara na allowance za MDH kwa kada ya DATA Officer.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ndo nimeomba boss hata hawajaitaWanaanza na laki 6 na ushee! Take home 530 hivi.
Hongera mkuu.
Subili tu mkuu, ni mkoani au Dar
Kila la kheri chief.
Hivi interview zao wanafanyiaga mkoa husika au dar makao makuu?Kila la kheri chief.
Ahsante sana kaka ukawe mtumishi mwema uko uendako ukikutana na vijana wanaojitolea ofisini kwako wapende wabebe usiwaone wazembe wape moyo yale maneno ya kajiajiri msiwaambieWakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.
Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
Hongera sana, Mungu akuongoze kwa kila hatua unayoiendeaWakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.
Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
Mapema sana hahaa!Wakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.
Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
Kumbe ndo ww...Wakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.
Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
Hapo sijajuwaHivi interview zao wanafanyiaga mkoa husika au dar makao makuu?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sifahamu mkuu.Hivi interview zao wanafanyiaga mkoa husika au dar makao makuu?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
nimeamka ila njaa inanipiga kweliiWadau wangu wanguvu second leg (database) bado hamjaamka tuhh??
Tuendelee kutiana moyo
Njaa haina huruma na jobless yoyote,ni unaa kwenda mbelenimeamka ila njaa inanipiga kwelii
Mungu ni mwema,tuko salama kaka.Tunazidi kusubiri na kuomba Mungu abariki kwenye Placements tunazosubiri.Wakuu kwema humu..?