Mbona duce washatoa jamn au nimeona vibayaWiki ya UDSM, DUCE hii muda wowote PDF inatema
Mbona duce washatoa jamn au nimeona vibayaWiki ya UDSM, DUCE hii muda wowote PDF inatema
yaani ikitoka nafasi inayonihusu nmejipanga nipambane sana aiseeHarufu ipo ila haijajulikana lini kunywa maji ya kutosha mambo mazuri yanakuja
[emoji28][emoji28]Kumbe nimeongea kitu cha ajabu! Samahani wanajukwaaa Em ngj nifatilie vzr[emoji1787]Utakua mgen wa status ww[emoji1787][emoji1787][emoji1787]fatlia comments za nyuma utaelewa
Wametoa nini?Mbona duce washatoa jamn au nimeona vibaya
🤣🤣🤣🤣 daaaah nikija dom ntakuja n ushaid kuwa mm sio yy.Naam, jasiri haachi asili kabisa[emoji3][emoji3]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji28][emoji1787][emoji1787]
nao watoe tu tujue mbivu na mbichi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka sana,aloooo wana JF wote lazma tuwepo kwenye hilo tren asee,tuzidishe tu maombi mana sisi part yetu tushaifanya now tunamwachia Mungu akatutetee.
Yes mkuu sa hivi niko poa uzuri mungu hatunyimi mkate wa kila siku tunaishiVp mkuu umekaa naona umekaa sawa now matumaini na ari ya mapambano imerejea
Hiyo ni rehema ya muumba kutuumba mioyo ni yenye kusahau maumivu yaliyoptia bila hivyo maisha yangekua magumu sanaaYes mkuu sa hivi niko poa uzuri mungu hatunyimi mkate wa kila siku tunaishi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sfi mkuu mapambano yaendleeYes mkuu sa hivi niko poa uzuri mungu hatunyimi mkate wa kila siku tunaishi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hilo Shirika lipo njema sanaaa...Wakuu nani anafahamu mishahara na allowance za MDH kwa kada ya DATA Officer.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu ndio maana nimemtag aje anisahihishe
Shukrani sanaaa, mara moja moja uwe unakuja kututembelea hapa kijiweniWakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.
Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
Niko vizuri sa hivi namshukuru Mungu pia kanipa mwenza anayenifahamu vizuri na kunipenda mimi jobless.Hiyo ni rehema ya muumba kutuumba mioyo ni yenye kusahau maumivu yaliyoptia bila hivyo maisha yangekua magumu sanaa
Ndo nalipambania mkuu maisha yanawezekana popoteHilo Shirika lipo njema sanaaa...
Sorry niliona vibaya kumbe walitoa pdf ya waliofaulu written kwenda oralWametoa nini?
Kila la kheriWakuu kwema humu..?