Kule kuna neema mkuu, haina haja ya kujiuliza kabisaWakuu nani anafahamu mishahara na allowance za MDH kwa kada ya DATA Officer.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu na asante pia 🙏🙏Ahsante sana kaka ukawe mtumishi mwema uko uendako ukikutana na vijana wanaojitolea ofisini kwako wapende wabebe usiwaone wazembe wape moyo yale maneno ya kajiajiri msiwaambie
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hata hujatupitia hapa utusabahi mkuu.Wakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.
Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
Ahsante kaka ngoja tupambaneKule kuna neema mkuu, haina haja ya kujiuliza kabisa
😁😁 Pamojah mkuuHata hujatupitia hapa utusabahi mkuu.
Kila la kheri kwenye hatua inayofuata
Serikalini kwa ngazi ya degree hakuna mshahara chini ya LAKI 7 mkuu. Hakuna graduate anaelipwa chini ya laki 7 iwe halmshauri/wizara/mashirika.Wanaanza na laki 6 na ushee! Take home 530 hivi.
Hongera mku
Ni noma sanaaaanimeamka ila njaa inanipiga kwelii
it depends kama hakuna third party usd 1700 ila kama yupo third party such as halmashauri utakutana na TGS CWakuu nani anafahamu mishahara na allowance za MDH kwa kada ya DATA Officer.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nakumbuka niliona mrejesho wake, hakupata nafasi.Hivi mkuu Balozi limited Yuko wapi.. hakunipa mrejesho kwenye zaga la NIRC maana tulikuwa wote tunafarijiana tukisubiria placements
Wakuu nina swali kdg hapa..
Kuna jamaa tulipiga nae Interview yeye alipiga ya TAA as Security officer. Hakupata nafasi ya placement ila kuna kila dalili yumo ktk Database.
Sasa swali langu ni hili.
1- Taasisi zipi zenye kada ya Security officer.
2- Je anaweza pangiwa kazi bila kuzingatia kada aliyoingia nayo Oral?
Nawasilisha.
week hii inawezekana zikawa nyingWiki ya UDSM, DUCE hii muda wowote PDF inatema
Hapoo ndipo kipengelee...Kila dalili??
Hebu share tujue ni dalili gani kuwa yuko kwenye kanzidata?
Litokeeeeee tujue yaliyomo yamoo au bado benchi linahusuPDF La database lipo njiani sijui ni Leo au kesho
Hiyo sio serikali mkuu ni shirika nimefanya kazi hapo mimi hivi navokwambia usiongee kutumia uzoefu wa degree na malipo.Serikalini kwa ngazi ya degree hakuna mshahara chini ya LAKI 7 mkuu. Hakuna graduate anaelipwa chini ya laki 7 iwe halmshauri/wizara/mashirika.