Kwa nlivofanya research normally it takes 4 months,sasa kwa keka letu livo jirefu inaweza enda 5 months or 6 months.Bora watoe April tu jmn mbn tutasibiri sana.
Hahaaaaa ,kutoboa ni kutoboa tu mkuu , lazima tutoboe hata kwenye ndoto mzee , yaani jobless kwenye pdf nishindwe kutoboa na kwenye ndoto nisitoboe ? , aah ,we , haiwezekaniAngalia hyo ndoto isje pelekea kutoboa hadi godoro mwamba
Database itakua na Kada zote watu 1767 ni lipdf likubwa tuendelee kumuomba Mungu ablessWadau naomba kuuliza hiyo database inayozungumziwa italenga hasa kada gan je ICT itakuwepo? Mbn mm naona watu wa kilimo ndo wanakupa shavu?
Kada zote,nadhani nafasi zinapopatikana basi wote waliopo kwenye Database watapata tu,huwa suala la Muda...Wadau naomba kuuliza hiyo database inayozungumziwa italenga hasa kada gan je ICT itakuwepo? Mbn mm naona watu wa kilimo ndo wanakupa shavu?
Sawa mkuuDatabase itakua na Kada zote watu 1767 ni lipdf likubwa tuendelee kumuomba Mungu abless
Tukae Kwa kutulia tusubiri hilo treni la kigoma.Kwa nlivofanya research normally it takes 4 months,sasa kwa keka letu livo jirefu inaweza enda 5 months or 6 months.
But pia hata hyo April ni possible kulingana na msisitizo walopewa na mama kua wasicheleweshe sana
Hakuna namnaTukae Kwa kutulia tusubiri hilo treni la kigoma.
🤣🤣🤣🤣🤣 hapana kaka, mi sijafanya usaili TAEC.Mkuu tumeungana sasa kupambania database sio hahhah
Mbona Tangazo lake sikuona kama za mkataba au kwa kada maaulum ndio zilizokuwa za mkataba?CPB inaongelewa sana maana ni ya Mkataba haina mlolongo wa Hazina. na Mh.Samia aliwaambia za mkataba wanachelewesha za nini? Ndio maana REA ikaachiwa fasta
Yap ni data officer, sijajua Nini Huwa kinaendelea ila nishawahi kuomba kwao zaidi ya mara 5, lakini sijawahi kuitwa kwenye usahiliData officer?
Kipengele kivipi mkuu kwamba wanachukua mda mrefu au vigezo na masharti yanayozingatiwa ni mengi sana
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Amechomoka TAEC,zimebakii nyingineOiiii wa tar 28 Nov umeona wamewachukua ila zile tulizokuw tunazitaja humu hakujaguswa hata ya chembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwl mzee , na tatzo simu inaweza pigwa isipatikane , au ukahisi wenzako washaitwa kimya kimya ~ we umekaa na barua tu.Ata mimi nasubiri hyo kaka, hamna kitu kigumu kama kusubir kitu usichojua ni lini, yaan shida tupu!! Bora mtu akwambie mwezi wa sita au wa tano, kuliko kutokutaja na usubir simu!!
Hakuna kukata tamaa mzee , mpka saiv hawajaita mtu Tra baada ya kutoa barua wamesema watapga simu ~ sasa pengine kuna mabadiliko , pengine kina majina mengine yanasubiriwa ili yaanze kwa pamoja Training , pengine kuna zigo la data base litatoka. in short usikate tamaa ~Hadi hapo ndo sizan Kama Kuna mkeka utakaotoka Tena wa database peke yake daah yaan TRA nlipambana nkapga written nkaenda practical nkaenda oral kwel wamekuja kunchomoa oral daah iliniumiza Sanaa inabidi tuu nzoee japo siwez kukata tamaa ntapambana zaid