Hakuna mkeka wa database tupu.nimeanza kuwa na ukakasi na mkeka wa data base aiseeh!
Mark my words
Hakuna mkeka wa database tupu.nimeanza kuwa na ukakasi na mkeka wa data base aiseeh!
Nami nimeomba hii, sema shida ya hawa mabwana kuitwa kwenye usahili napo nikipengele. Ngoja tusubiri
Usijali kaka, tulia hivyo hivyo...Kuna mwamba kalamba asali majina yetu yamefanana ilinishtua sana sema vitengo tofauti na jina la mwisho
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Data officer?Nami nimeomba hii, sema shida ya hawa mabwana kuitwa kwenye usahili napo nikipengele. Ngoja tusubiri
Hadi hapo ndo sizan Kama Kuna mkeka utakaotoka Tena wa database peke yake daah yaan TRA nlipambana nkapga written nkaenda practical nkaenda oral kwel wamekuja kunchomoa oral daah iliniumiza Sanaa inabidi tuu nzoee japo siwez kukata tamaa ntapambana zaidka pdf ka taasisi mbalimbali
Wametuamulia duh bandika bandua.kmzigo kengine tayari jamani
Hao jamaa ukiitwa shukru munguData officer?
Kipengele kivipi mkuu kwamba wanachukua mda mrefu au vigezo na masharti yanayozingatiwa ni mengi sana
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Watatoa naamini wa databse peke yake post 1769 ni nyingi haziwezichomekwa zote kwenye mikeka hii ya saili zizlizofnyikaHakuna mkeka wa database tupu.
Mark my words
It technician au programmer?Hadi hapo ndo sizan Kama Kuna mkeka utakaotoka Tena wa database peke yake daah yaan TRA nlipambana nkapga written nkaenda practical nkaenda oral kwel wamekuja kunchomoa oral daah iliniumiza Sanaa inabidi tuu nzoee japo siwez kukata tamaa ntapambana zaid
Pole sana mwamba duh kumbe ww ni miongoni mwa waliochomolewa oral wale 48?Hadi hapo ndo sizan Kama Kuna mkeka utakaotoka Tena wa database peke yake daah yaan TRA nlipambana nkapga written nkaenda practical nkaenda oral kwel wamekuja kunchomoa oral daah iliniumiza Sanaa inabidi tuu nzoee japo siwez kukata tamaa ntapambana zaid
Dah ile kk inaonekana mlifeli so hapo ni kupambana tu next timeHadi hapo ndo sizan Kama Kuna mkeka utakaotoka Tena wa database peke yake daah yaan TRA nlipambana nkapga written nkaenda practical nkaenda oral kwel wamekuja kunchomoa oral daah iliniumiza Sanaa inabidi tuu nzoee japo siwez kukata tamaa ntapambana zaid
Ukiwa mtafutaji hii hali kukutana nayo nu kawaida mkuu... kuna akina sisi tushapiga kama hizo zaidi ya 3 tena mpaka oralHadi hapo ndo sizan Kama Kuna mkeka utakaotoka Tena wa database peke yake daah yaan TRA nlipambana nkapga written nkaenda practical nkaenda oral kwel wamekuja kunchomoa oral daah iliniumiza Sanaa inabidi tuu nzoee japo siwez kukata tamaa ntapambana zaid
Kikubwa kutokukata tamaa tu Allah anamruzuku amtakae bila ya hesabuUkiwa mtafutaji hii hali kukutana nayo nu kawaida mkuu... kuna akina sisi tushapiga kama hizo zaidi ya 3 tena mpaka oral
Kbsaa kkKikubwa kutokukata tamaa tu Allah anamruzuku amtakae bila ya hesabu
Sasa mkuu utajuaje kuwa wanakudanganya while huna udhibitisho wa kama uko au hauko database?utumishi wakitu danganya kuhusu database tuwasagie kunguni social media tuzid kuitag bunge,samia nk mpaka kilio kiwafikie . waache dhuluma
Man black umerudi mjombaKikubwa kutokukata tamaa tu Allah anamruzuku amtakae bila ya hesabu