Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,771
- 126,708
Taaluma ndio inayoangaliwa jinsi inavyofit kwenye nafasi mbalimbali za kaziWakuu nina swali kdg hapa..
Kuna jamaa tulipiga nae Interview yeye alipiga ya TAA as Security officer. Hakupata nafasi ya placement ila kuna kila dalili yumo ktk Database.
Sasa swali langu ni hili.
1- Taasisi zipi zenye kada ya Security officer.
2- Je anaweza pangiwa kazi bila kuzingatia kada aliyoingia nayo Oral?
Nawasilisha.