HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yupo Kwa I'd mpya,

lkn humu sio sna. Ukila shavu unaamia nyuzi nyingine kam za viwanja, magari, kula tunda kimasihala n.k

Huu uzi ni daraja tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi mbona bado nipo na sijahamia huko kwenye nyuzi zingine
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi mbona bado nipo na sijahamia huko kwenye nyuzi zingine
JF ni lidude likuubwa, lina maskani/vijiwe viiingi, kila kijiwe kina wadau wake, wakongwe na wapya, mdau active wa maskani moja, katika maskani nyingine hushiriki kwa kusoma tu michango ya wengine.
 
Mkuu Mwifwa hivi barua tunazofuata pale PSRS masjala ya wazi ni specially kwa Mwajiri na natakiwa nisiifungue Hadi niwasilishe kwa mwajiri wangu au inakuwaje kaka...?
Hebu nitoe tongotongozo hapa, nisije kufungua nikaonekana Sina adabu kwa Mwajiri[emoji16][emoji16]
Lazima ufungue ili usome kilichoandikwa na ukifuate.

Humo ndani utapata anwani ya mwajiri sehemu alipo ili uipeleke hiyo barua
 
JF ni lidude likuubwa, lina maskani/vijiwe viiingi, kila kijiwe kina wadau wake, wakongwe na wapya, mdau active wa maskani moja, katika maskani nyingine hushiriki kwa kusoma tu michango ya wengine.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kama waleta shuhuda wanavyosema hawakuwa wachangiaji sana
 
Back
Top Bottom