HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu Mwifwa hivi barua tunazofuata pale PSRS masjala ya wazi ni specially kwa Mwajiri na natakiwa nisiifungue Hadi niwasilishe kwa mwajiri wangu au inakuwaje kaka...?
Hebu nitoe tongotongozo hapa, nisije kufungua nikaonekana Sina adabu kwa Mwajiri😁😁
hahahaa mkuuu
 
Yani hata sielewi Mkuu maana kilakitukinachohitajika niliweka labda walipiga mstari shwaa, zile za takukuru tuliitwaga nyomi nilikandwa nashangaa saivi hata kuwa shortlisted hakuna asee
mwaka jana waliita tu hta kama hauna jkt, kJ gani wewe ??
 
Huyo tupo nae humu kipindi kirefu sana sasa, ni msomaji mzuri wa comments na mchangiaji mara chache. Ametoa comment ya "kutia moyo" kama vile wengi hupendelea, hataki hatia ya kumkatisha mtu tamaa.
Oooh alivosema oral ushafanya ni as if mtu hutakiwi kuikuta hyo NOT SELECTED,ukishafanya oral status si inaweza kua selected or not selected or null etc...
 
Hilo faili la MDA na LGA litajaza watu wengi kama train la kwenda Kigoma[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka sana,aloooo wana JF wote lazma tuwepo kwenye hilo tren asee,tuzidishe tu maombi mana sisi part yetu tushaifanya now tunamwachia Mungu akatutetee.
 
Oooh alivosema oral ushafanya ni as if mtu hutakiwi kuikuta hyo NOT SELECTED,ukishafanya oral status si inaweza kua selected or not selected or null etc...
Naona sasa umekwiva katika kutafasiri, kuchambua na kuelezea status, hakika uzi umekujenga sana, ume-pass katika hili.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka sana,aloooo wana JF wote lazma tuwepo kwenye hilo tren asee,tuzidishe tu maombi mana sisi part yetu tushaifanya now tunamwachia Mungu akatutetee.
Kweli ni Maombi tu Madam hakuna namna
 
Za kuambiwa na watu changanya na zako in Jakaya' voice.

Rangi Zina maana yake hata bila kuwa na tafsiri. Ukiona Red unajua hapa ni hatari.

Green=Pass

Hii ni Elimu nyepesi kabisa huhitaji kukaza fuvu.
It is obviously....
 
Back
Top Bottom