Placement ikiondoshwa ni imeondoshwa kuna namna ya kuipata tena??Fuatilia placement za nyuma kuna watu waliitwa TTCL na taasisi nyingine..mkeka mzima ulikuwa na DATA BASE
Mtu anaongea utsema kakurupuka usingzini bila ya kufuatilia mamboFuatilia placement za nyuma kuna watu waliitwa TTCL na taasisi nyingine..mkeka mzima ulikuwa na DATA BASE
Nenda kwenye archive utaikutaPlacement ikiondoshwa ni imeondoshwa kuna namna ya kuipata tena??
So mmetimiza miez minne sasa sio?Yaaan ukitajwa mwez Nov moyo unaenda mbio
Hua hatuna taratibu za kufuatilia jamboMtu anaongea utsema kakurupuka usingzini bila ya kufuatilia mambo
Milioni 6Niambieni TPDCS7 ina range ngap?👇
Safi kabisa kwa uthibitishoHiyo hapo DATABASE
Duuu, watu wanabwia asali si mchezo, na je vipi kuhusu PGSS 7 mkuu?Milioni 6
Lolote linawezekana wao ndio waongoza njia..so kwa wale wote wanao subiri DATABASE wasikate tamaa waendelee kufunga na kuomba ili MUNGU atendeSafi kabisa kwa uthibitisho
9.9mDuuu, watu wanabwia asali si mchezo, na je vipi kuhusu PGSS 7 mkuu?
"Remember remember, the 5th of November"Yaaan ukitajwa mwez Nov moyo unaenda mbio
Zipo not na selected for oral baada ya oral. Cheki hii hapaItakuwa labda kuna shida huko kwao wa husika, not selected for oral kivipi wakati oral umeshafanya.
Siioni...Zipo not na selected for oral baada ya oral. Cheki hii hapa
Angalia tenaSiioni...
Tunataka not selected for oral ilihali umeshafanya oralZipo not na selected for oral baada ya oral. Cheki hii hapa
Wewe ni wa SUA??👀Wa 28th Nov tujuane