yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmeniharibu nyieNaona sasa umekwiva katika kutafasiri, kuchambua na kuelezea status, hakika uzi umekujenga sana, ume-pass katika hili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmeniharibu nyieNaona sasa umekwiva katika kutafasiri, kuchambua na kuelezea status, hakika uzi umekujenga sana, ume-pass katika hili.
Amen na ikawe hvoMimi naamini tulioingia Oral MDA&LGA wote tutalamba Asali[emoji28][emoji28]
Boss mbona umetupendelea hvo hahaha,march si kesho tu hapo tu,sema ikiwa hvo itakua poa sanaNyinyi mwezi wa tatu.
Mambo yanakwenda haraka haraka hata kuisha march pdf zote zitakuwa zimeshaisha kuanzia za nov-febBoss mbona umetupendelea hvo hahaha,march si kesho tu hapo tu,sema ikiwa hvo itakua poa sana
where u champ?Kwenye app mm nina selected for null nilifanya oral mwezi uliopita,
nina not selected for null nilifeli written,
Lkn nina selected for oral inteviw ambapo nilifanya written na practical kwenda oral...
Nb.
Not selected for null nyekundu, selected for null ya kijani,
Nadhani kwenye wanaofanya practical kunakuwa na selected for oral, kwenye app kama navoiona mm na watu washaitwa job since jully.
Walifanya mkuu, tena ni mwezi huu huu tarehe za mwanzoni.naomba kufahamu pdf ya jana ya taasisi mbalimbali NIRC walifanya interview au wametolewa database?
Kuanzia j3 hapoWazee wakutabiri mikeka, mkeka mwengine lini?
Kule ni balaaa, achilia mbali connection tuu. Hao jamaa wanajiaminigi sana nakumbuka siku ya kufanya ile aptitude test pale Udom walikuwa staffs watatu halafu yule staff mmoja ambaye alikuwa ni mwanume akawa anasema tuu ukiibia tuu jua tutakuona. Nakusihii sana fanya mwenyewe kwa akili yako halafu akawa anacheka tuu. Of course walikuwa ni wacheshi kwani kuna muda walijitambulisha na nafasi zao huko maofisini na kuweka viutani utani kidogo.Yani hata sielewi Mkuu maana kilakitukinachohitajika niliweka labda walipiga mstari shwaa, zile za takukuru tuliitwaga nyomi nilikandwa nashangaa saivi hata kuwa shortlisted hakuna asee
hakuna pdf ya data baseNfakiri wiki ijayo au mwez wa 3 mwanzon watatoa walau pdf moja yenye kubeba idadi kubwa ya database
Usijali mwezi wa tatu hapo panaweza chekaBoss mbona umetupendelea hvo hahaha,march si kesho tu hapo tu,sema ikiwa hvo itakua poa sana
Unatoa taarifa, au unabisha/ kupinga?hakuna pdf ya data base
Amen AmenUsijali mwezi wa tatu hapo panaweza cheka
Natoa taarifa kwamba hakuna pdf ya database pekee.Unatoa taarifa, au unabisha/ kupinga?
Wewe kama nani mkuu unasema hivi?hakuna pdf ya data base
Umeelewa nilichoandika?Natoa taarifa kwamba hakuna pdf ya database pekee.
Yaaan ukitajwa mwez Nov moyo unaenda mbioMambo yanakwenda haraka haraka hata kuisha march pdf zote zitakuwa zimeshaisha kuanzia za nov-feb
Kwamba haijawahi kutokea? Lakini waziri alisema itakuwepo sasa idadi aliyoisema si haba kwanini washindwe kuitoa?Natoa taarifa kwamba hakuna pdf ya database pekee.
Ww umekuwa kama mm mwaka juzi polisi niliomba nkawa shortlisted nkafanya usaili wote nkaja kukandwa kwenye PDF la mwisho..Yani hata sielewi Mkuu maana kilakitukinachohitajika niliweka labda walipiga mstari shwaa, zile za takukuru tuliitwaga nyomi nilikandwa nashangaa saivi hata kuwa shortlisted hakuna asee