HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi mkongwe ajira 2014, nikakutana na uhakiki wa Magufuli 2016 vyeo vikasimama kwa miaka 2-3.
Sasa naomba kazi taasisi kubwa tu nani anataka kula nyasi maisha yote.
😂😂😂 kupanga ni kuchagua ila Mungu ndie anajua zaidi

kuna rafiki yangu yeye alikuaga anaomba kazi za taasisi kubwa kubwa tu zikitoka kazi za halmashauri haombi jamaa kapiga oral zake kibao tu mrija wa asali unakuja anapangiwa kutoka data base kwenye halmashauri huko

mshikaji hadi leo hii huwa haamini kilichotokea lkn mwisho wa siku ilibidi akubaliane na hali tu
 
Yaaah Leo kimoja kimezima kile Cha Tangazo la REA tar 16.
Leo tutegemee kipya linakuja kureplace hasa zaga la ASA Leo linatema maana kaulimbiu Yao Sasa ni kumaliza zote za Wizara ya kilimo
Hadi hizi za NIRC?😳
Kumbuka saili zake zimepishana sana, mie naona leo mkeka wa ASA unapachikwa pale mchana mchana mida saa nane nane hivi 😂
 
Hv kwann hz pdf za placements ni ngumu sana kupachikwa Asubuhi..?
Ni ileile placements ya TRA ndiyo ilivunja records baada ya kupachikwa saa 7 mchana Ila nahisi Maneno ya Mama wetu yalisababisha
 
ASA Leo ni uhakika mkuu.. muda tu utaongea,, hawawezi kutoa TARI then wawasaliti ASA
Hiyo sahihi kabisa, leo mkeka wa ASA unapachikwa pale kwenye vimweta mweta katika placement pale😂😂

Daah hakuna furaha ya mtu kwa siku hiyo kama kuona jina lako katika sehemu ya placement, hususan ukiwa ushapigwa na jua sana la kitaa bila ya ramani yoyote.

Nawatakia mafaniko mema mlopiga oral ya ASA, wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Kilichobakia ni kuombeana mema tu,maana kufanya ndio mmeshafanya.
 
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
 
Ndio ni chache....mfano Rural Water and Sanitation Agency-RUWASA wanatumia TGS
hata TBA huwa naskia wana TGS lkn sina uhakika sana

kuna mpango naskia za chini chini watakuja wa zi flat rate zote za mishahara kwa taasisi zote kama ww ni IT wa ewura mshahara wako unakuwa sawa na IT wa tanesco
 
Cha kwanza kupata kazi kwanza haya mengine ya sijui nani analipwa Sh ngp yatajulikana huko mbele ya safari, na hakuna mshahara unaotosha wapo maticha wanaupiga mwingi sana, kinachobaki ni kujiongeza tu kwa kuangalia fursa zilizo mbeleni, asikwambie mtu kukosa kazi aseeh ni janga la taifa sana saivi ukiwa kazini ni rahisi kupata kazi nyingine. Naamini kila mmoja wetu tumepangiwa mahala tutapata ridhiki stahiki
 
Back
Top Bottom