HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji23][emoji23][emoji23] kupanga ni kuchagua ila Mungu ndie anajua zaidi

kuna rafiki yangu yeye alikuaga anaomba kazi za taasisi kubwa kubwa tu zikitoka kazi za halmashauri haombi jamaa kapiga oral zake kibao tu mrija wa asali unakuja anapangiwa kutoka data base kwenye halmashauri huko

mshikaji hadi leo hii huwa haamini kilichotokea lkn mwisho wa siku ilibidi akubaliane na hali tu
Daaaah, kweli hii ndo bongo nyoso
 
[emoji23][emoji23] Mimi dereva wa TASAF amenifanya nije kusoma kozi ya VIP Driving na kuona hakuna maana ya Degree. Nipo NIT namalizia Week ya mwisho hapa. Labda tujaribu kulamba kwa kupitia mlango wa nyuma.
Ni jambo jema pia! Ni moja wapo ya kutafuta namna yotote ili mradi kutoka tu! Kuna mashirika madereva wanalipwa kuliko hata mwenye degree! Sasa kama TRA dereva anaanzia 800k why mtu asiopt hata kwenda kuwa driver??
 
Nimekuwa addicted na pdf aiseh baada ya kuonja flavour ya ujobless sasa, aiseh hakuna kitu kigumu km unaamka na hujui uende wapi, askiwambie ntu tututu bia tamuu
Pole sana mkuu mi nawalaumu sana wasisi wa taifa letu wametengeneza mazingira mabaya sana kwa rasilimali za taifa letu na mikataba ya uwekezaji inauma mtu anafanya kazi ila hawezi kuafford hata kula serikalini kupata sio rahisi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Lakini hata wakipachikwa mmoja mmoja kwa speed hii ya kobe ya placement hawawezi fika watu 1700+ kwa mwezi huu wapili
Note: Placement za mwezi huu wapili ukijumlisha wote wa usaili mpya plus database mpaka sasa hawafiki hata watu 1000 mpaka sasa
Hiki kitu nishawahi kutana nacho
Placement= Orodha ya majina yafwatayo yatambue kuwa walifaulu usaili na majina yao kuhifadhiwa kanzi data (Database) hivyo wamepangiwa vituo mbali mbali vya kazi mara baada ya nafasi kupatikana

Nadhani hizo wanazojaza mmoja mmoja ni zile nafasi labda mtu hakuriport kazini, au matatizo mbali mbali
 
Ohooo kumbe RUWASA ni kama halmashauri iliyochangamka...
RUWASA hawana kibali cha kuajiri kama taasisi inayojiyegemea....wakati inaanzishwa ilikopa wafanyakazi kutoka Halmashauri na ndio wanaofanya kazi kwa sasa....Wanapambana wapate kibali cha kuajiri kama wenzao TARURA....ila kwa sasa kuna baadhi wameshabadililishiwa scale zao kutoka TGS kwe scale ya RUWASA mpya RSS japo kibunda kimebaki kile kile kama cha TGS😀
 
hata TBA huwa naskia wana TGS lkn sina uhakika sana

kuna mpango naskia za chini chini watakuja wa zi flat rate zote za mishahara kwa taasisi zote kama ww ni IT wa ewura mshahara wako unakuwa sawa na IT wa tanesco
Ohooo, watu wameshaanza kusagiana kunguni...[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cha kwanza kupata kazi kwanza haya mengine ya sijui nani analipwa Sh ngp yatajulikana huko mbele ya safari, na hakuna mshahara unaotosha wapo maticha wanaupiga mwingi sana, kinachobaki ni kujiongeza tu kwa kuangalia fursa zilizo mbeleni, asikwambie mtu kukosa kazi aseeh ni janga la taifa sana saivi ukiwa kazini ni rahisi kupata kazi nyingine. Naamini kila mmoja wetu tumepangiwa mahala tutapata ridhiki stahiki
Amen
 
Pole sana mkuu mi nawalaumu sana wasisi wa taifa letu wametengeneza mazingira mabaya sana kwa rasilimali za taifa letu na mikataba ya uwekezaji inauma mtu anafanya kazi ila hawezi kuafford hata kula serikalini kupata sio rahisi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kabisa, sasa na private yenyewe nyingine ni maumivu makaali sana aiseh kuliko ujobless, wakuu washshe tu mapdf huenda asali iko njiani, ukiona giza nene sana ujue kuna karibia kukucha
 
Sahau Magu Alijaribu Akashindwa Kinachowezekan n Kuwapandisha w TGS Kuwa Sawa Na Maamala Au Taasisi Kwa Wenye Kada Sawa.
Ila Pia Ni Ngumu Maan Gharama Zitaongezeka Na Pia Hizo zenye Mishahara Hy mikubwa Au Taasisi Huwa Zinapewa malengo mkifika Kibunda Kinajaa.
Juzi TPA Kulikuwa Na sekeseka Wanataka Waongezwee Sabab walifka Target.
Si Unasikia Kila Mara Bandari Imevunja Record.
Kwahy wao kujiongeza n kawaida maan Wamekusanya Kwa Kiwang na Pia Wanakiasi cha mapato wanahold kwny Account Za Taasisi Husika.
TPA Kwa Mwaka Anatoa Gawio La 15% Ya Faida Yake Serikali Kama 300 Billion.
Alafu Halmashauri Zote Kwa Mwaka Wanakusanya 1.2 Trillion.
Unataka Wakae Meza 1 Kimshahara kweli.?
Hapo kweli ni ngumu
 
Wanapachikwa mmoja mmoja katika placement hizi hizi zinazoendelea kutoka, usitumai kwamba pdf la Data base litatoka pekee, soma matangazo ya placement vizuri utagundua kitu hicho.
Kwan hapo kabla ya kutwambia kuna post 1768 si walkuwa wanasema wanaopata kazi pia ni wale wa kanzidata

Tunataka watu 1768 seperate[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa unasikia Maliasili anaingiza Asilimia 80% Ya Pesa Ya Kigeni Yote kwa Nchii.
Na Anachnagia Asilikia 28% Ya Pato La Taifa Na Hapo Bado Kuna Upigaji.
Then Engineering Wa Tanapa Alipwee Sawa Na Halmashauri.
Lazima Tukubali Lazima Wapishane Na Sio Upendeleo N Nature Tu Iko Hivyo Ingawa Wote Wanafanya kazi ila Hawawez Kwenda Sawa Kimaslai.
Maamlaka- Serikali Kuu- Taasisi- Halmashauri(Tamisemi).
Nimeshakuelewa mkuu. Hapo naamini kuna Professors wengi tuu wanapitwa na staffs wa hizo mamlaka.
 
Lakini hata wakipachikwa mmoja mmoja kwa speed hii ya kobe ya placement hawawezi fika watu 1700+ kwa mwezi huu wapili
Note: Placement za mwezi huu wapili ukijumlisha wote wa usaili mpya plus database mpaka sasa hawafiki hata watu 1000 mpaka sasa
Asa hapo Pana tumaini kweli au ipo vipi
 
Ambao hatujaingia huko yaaan tupo radhi hata tule TGS B..
ila sasa ukishaingia huko na kukaa mudaa kadhaa..majukumu yakawa ndo yamedouble ndo lazima ufanye unachofanya sasa hv

Bt all ni all kikubwa uwe na kamrija ka asali hata kama ni kakiduchu ila uhakika upo
TGS B ni Scale Tu lkn Kwa watu walio kwenye fani ya Uvuvi wengi wao wanaenjoy sn Maisha huko Halmashauri ndy maana hawana wingi wa Shahada wengi wao wanaishiaga diploma tu na kwenda Kula Maisha kwenye Maji
 
Back
Top Bottom