HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi PDF la database 1700+ linatoka lini mwezi imeisha hvy. Kwanini hawashushi placement za kutosha Kama kwenye call for interview na advertisement

Wanapachikwa mmoja mmoja katika placement hizi hizi zinazoendelea kutoka, usitumai kwamba pdf la Data base litatoka pekee, soma matangazo ya placement vizuri utagundua kitu hicho.
 
hata TBA huwa naskia wana TGS lkn sina uhakika sana

kuna mpango naskia za chini chini watakuja wa zi flat rate zote za mishahara kwa taasisi zote kama ww ni IT wa ewura mshahara wako unakuwa sawa na IT wa tanesco
Mmh itawezekana kweli?? Kwasababu kuflat kwa kuongeza IT wa TANESCO afanane salary na wa TCRA ni mziki serikali haina uchumi huo......Upande wa pili kumpunguzia mtu mshahara wake ndio ngumu zaidi
 
Hiyo sahihi kabisa, leo mkeka wa ASA unapachikwa pale kwenye vimweta mweta katika placement pale[emoji23][emoji23]

Daah hakuna furaha ya mtu kwa siku hiyo kama kuona jina lako katika sehemu ya placement, hususan ukiwa ushapigwa na jua sana la kitaa bila ya ramani yoyote.

Nawatakia mafaniko mema mlopiga oral ya ASA, wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Kilichobakia ni kuombeana mema tu,maana kufanya ndio mmeshafanya.
Ameen, amen
 
Wanapachikwa mmoja mmoja katika placement hizi hizi zinazoendelea kutoka, usitumai kwamba pdf la Data base litatoka pekee, soma matangazo ya placement vizuri utagundua kitu hicho.
Lakini hata wakipachikwa mmoja mmoja kwa speed hii ya kobe ya placement hawawezi fika watu 1700+ kwa mwezi huu wapili
Note: Placement za mwezi huu wapili ukijumlisha wote wa usaili mpya plus database mpaka sasa hawafiki hata watu 1000 mpaka sasa
 
hata TBA huwa naskia wana TGS lkn sina uhakika sana

kuna mpango naskia za chini chini watakuja wa zi flat rate zote za mishahara kwa taasisi zote kama ww ni IT wa ewura mshahara wako unakuwa sawa na IT wa tanesco
Sahau Magu Alijaribu Akashindwa Kinachowezekan n Kuwapandisha w TGS Kuwa Sawa Na Maamala Au Taasisi Kwa Wenye Kada Sawa.
Ila Pia Ni Ngumu Maan Gharama Zitaongezeka Na Pia Hizo zenye Mishahara Hy mikubwa Au Taasisi Huwa Zinapewa malengo mkifika Kibunda Kinajaa.
Juzi TPA Kulikuwa Na sekeseka Wanataka Waongezwee Sabab walifka Target.
Si Unasikia Kila Mara Bandari Imevunja Record.
Kwahy wao kujiongeza n kawaida maan Wamekusanya Kwa Kiwang na Pia Wanakiasi cha mapato wanahold kwny Account Za Taasisi Husika.
TPA Kwa Mwaka Anatoa Gawio La 15% Ya Faida Yake Serikali Kama 300 Billion.
Alafu Halmashauri Zote Kwa Mwaka Wanakusanya 1.2 Trillion.
Unataka Wakae Meza 1 Kimshahara kweli.?
 
Sasa unasikia Maliasili anaingiza Asilimia 80% Ya Pesa Ya Kigeni Yote kwa Nchii.
Na Anachnagia Asilikia 28% Ya Pato La Taifa Na Hapo Bado Kuna Upigaji.
Then Engineering Wa Tanapa Alipwee Sawa Na Halmashauri.
Lazima Tukubali Lazima Wapishane Na Sio Upendeleo N Nature Tu Iko Hivyo Ingawa Wote Wanafanya kazi ila Hawawez Kwenda Sawa Kimaslai.
Maamlaka- Serikali Kuu- Taasisi- Halmashauri(Tamisemi).
 
Yaaaan
Sema kwa hali ilivyo wa kukausha sio wengi kihivyo...nani ana ubavu wa apangiwe na akaushe unless awe tyr ana mrija wake wa asali unatiririsha ila upo na maisha ya kuunga unga halmashauri iwe kijjn au mjini...bondeni au mlimani...kukame au kwenye baridi utaenda tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna namna ....uhamisho utafuata baadae.
 
Ndio maana niliamua kusoma ufundi bomba veta nilikutana na jamaa yupo mwaka wa pili veta kaangaika sana kutafuta kazi na digrii yake bila mafanikio aka amua kusoma umeme now kalamba asali Tanesco maisha yana enda
Duuuh aiseh, Eeeh Mungu baba simama nasisi vijana utujalie tuweze kupata ridhiki za kila siku, Ameen
 
Duuuh aiseh, Eeeh Mungu baba simama nasisi vijana utujalie tuweze kupata ridhiki za kila siku, Ameen
Ameen me naona jobless wapige fani za mda mrefu na fupi waingie kwenye mashirika ya umma maana kule kuna ajira za mkataba wanalipa vizuri maana wanazalisha Tanesco,Dawasa,Tamesa n.k
 
Heee ustegemee et ikaja pdf ya kujitegemea ra data base peke yake
Hizi hizi znazotoka ndo watu wanapachikwa humo
Hilo Pdf Lipo Inaweza Husishaa Taasisi Zote Mlizofanya November Na Dec Au Ikatoka Kipekee Yake na Huwa Wanautaratibu Ikitoka Huwa Wanaweka na Statement.
Kwamba Kadhaa wameitwa from database tofauti na ile ya kuchomoa 1au kadhaa kutoka kwny Database to pdf Zinazotokag
Mara ya mwisho Walifanya May 2020
Walitaa 248 Wote From Database Ndani Ya Mwezi 1
 
Back
Top Bottom