HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwezi ujiroge useme ununue Kadeti zisizopauka za 60000 na kiatu cha ngozi 70000 kwisha habari yako. Mtumishi unaishia kununua suruali za kumodoa za elfu5 kama mwanachuo
Ahahahahahhaha
Kwa hyo tuanze kuvaa za kumodoa mapema
Maana
 
Mwifwa ndugu yangu kumbe tayari umeshalamba asali ya NAOT, Hongera sana ndio nazipata habari zako humu ulikuwa mchangaiji mzuri wa mada, na sisi tunasubiria soon tunatumai na sisi tutalamba asali kwa uwezo wa Mungu
Ahsante sana mkuu.

Mapambano yaendelee hadi kieleweke, kila mmoja nafasi yake ipo ila muda wa kuipata ndio unatofautiana. Tuwe na subira, muda ukifika muhusika napata nafasi yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kupanga ni kuchagua ila Mungu ndie anajua zaidi

kuna rafiki yangu yeye alikuaga anaomba kazi za taasisi kubwa kubwa tu zikitoka kazi za halmashauri haombi jamaa kapiga oral zake kibao tu mrija wa asali unakuja anapangiwa kutoka data base kwenye halmashauri huko

mshikaji hadi leo hii huwa haamini kilichotokea lkn mwisho wa siku ilibidi akubaliane na hali tu
Hapo tunapata funzo kuwa, tupambane kwa Option zote kwa kuwa hatujui wapi mambo yatatiki.

Pengine asinge-ignore sahili za Halmashauri huenda angepata nafasi kwenye taasisi kupitia hiyo database.

Hata hivyo apige kazi then baadae aje afanye utaratibu wa kuhamia kwenye taasisi
 
mwifa kapambana sana huyu mtu sio siri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna siku nilikuwa natetemeka mwili mzima na baridi la CIVE( ile ukisimama unaona mwili unavibrate wenyewe utadhani gari linaunguruma likiwa halijazimwa kwenye parking) wakati nasubiri kuingia kwenye mkando. Nilipoingia nilikandwa haswa
 
Mwezi ujiroge useme ununue Kadeti zisizopauka za 60000 na kiatu cha ngozi 70000 kwisha habari yako. Mtumishi unaishia kununua suruali za kumodoa za elfu5 kama mwanachuo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], asalaleee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna siku nilikuwa natetemeka mwili mzima na baridi la CIVE( ile ukisimama unaona mwili unavibrate wenyewe utadhani gari linaunguruma likiwa halijazimwa kwenye parking) wakati nasubiri kuingia kwenye mkando. Nilipoingia nilikandwa haswa
Umenikumbusha the same scenario ilinikuta nilipigwa na baridi cive na kikakandwa pia[emoji3][emoji3][emoji3] Aiseh Mungu atusaidie vijana tunapitia mengi sana
 
Back
Top Bottom