HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mara washikaji zako wanakuona kwenye kampeni halafu skonga haukuwaga mtu wa siasa lakini hapo wanashangaa jinsi unavyotiririka...wanasema kweli halmashauri imevamiwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni unafki kwa kwenda mbele,mrad asali ilambwe
 
Hiyo habari nyingine hao jamaa! Kuna mshkaji alikuwa Ewura pale bandarini alikuwa na certificate ya nn sijui! Aisee [emoji119]
Kuna watu wanalamba asali halafu kunawengine wanaogelea kabisa kwenye asali.
 
nina mwnangu yuko hpo treasury ,mshahara alinambia haufiki hata 1M,ila sasa yuko njema ana subaru,ardhi na mjengo. mianya ni mingi safari na semina posho niyakufa mtu mkuu. by the way usifananiahe ukoko wa halmashauri na wizara. vp afsa upo halmashauri ya busisi nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], halmashauri ya nini? Hapo imenibidi nicheke aisee
 
Back
Top Bottom