HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah mwifwa bado unapambana tu Mwana aisee huwa nasikitika sana natamani mno utoboe huku upate hi I thread uwe unairuka tu..Nina mdogo Wangu sijui kafanyia manginja gani maana kafanya interview moja tu toka amalize chuo 2021 eti kapata custom office zile za TRA nahisi wataanza Na training kwanza ....mwamba Wangu mwingine yeye afisa mifugo katoka juzi oral anasikilizia Na yeye
Mbona Alishakula Shavu NAOT Huyu ndugu yetu kaka.Basi inawezekana hujaingia muda mrefu humu
 
Oi watafuta Ajira wenzangu,msiwe mnakatishana tamaa humu ndani,au kuleta Taharuki ya chochote,mwenye taarifa sahihi ni PSRS,kama Kuna kitu hukielewi ni Bora kuwapigia simu au kutuma Email muda wowote,Mimi nishahudumiwa sana na wao,piga simu muda wowote ule wa kazi,ukiona yuko bize mtoa huduma,piga Tena mpaka simu yako ipokelewe.Wanapokea Simu nyingi sana hao Kwa wakati mmoja...
Hongereni sana PSRS Kwa Hilo.

Sekretarieti ya Ajira tunasubiri pia placements hizi hapa chini Kwa hamu sana[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji120][emoji120]

November-December 01/2022.

TAEC
ARIMO
OUT
IAA
RUWASA
SUA
MoCu
TMC
Sas kama unaongeaga nao vp ukiwauliza wamefikia wapi kuhusu hizo posts wanasemaj?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Vijana ukiona umekandwa sana na interview bila mafanikio tafuta leseni kisha ingia NIT driving course. Omba kazi PSRS kama dereva kutoboa rahisi. Mambo mengine utabadilisha ukiwa kazini
Na namba yako ya nida inasoma system inakukataa napo
 
Kweli asee Sasa hawatabiriki.Maana matarajio ya wengi kwa kuwa tunaenda fikisha mwezi Wa Tatu,basi tulihisi Placement itatoka mwezi huu wa pili ukihesabu November 28/2022 mpaka Sasa ambapo mwezi Wa pili ni kama unaelekea mwisho...
Ndoman mm najiekea 6 months expectations,stak stress kabisa
 
Sas kama unaongeaga nao vp ukiwauliza wamefikia wapi kuhusu hizo posts wanasemaj?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Napiga simu nikiwa na inshu Zangu kwenye My Account......

Hicho ni Kitengo kingine kaka,Hayo tutawauliza Humu Humu,kwa kuwa wapo na wanasoma.
Refer suala la NULL na Mambo mengine kuhusu Status
 
Back
Top Bottom