mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
hzi sio placement. bali ni mkakati wa serikali kuwapa vijana mafunzo,ardhi na mtaji ili wajikite kwenye kilimoHii ni nini mkuu?
hzi sio placement. bali ni mkakati wa serikali kuwapa vijana mafunzo,ardhi na mtaji ili wajikite kwenye kilimoHii ni nini mkuu?
Vyemaa sana.Sawa,tena ngoja nifute app
Imeongezwa ni 765,000,japo ni mule muleOhooo , mbona hatari na nusu
Mbona hakunaWALE WA BBT MAJINA TAYARII
Hapo hakuna namnanafahamu mkuu,kumbuka NIRC wapo chini ya Wizara wana irrigation projects ,gross lakisaba . ila allowances ndizo zitakufanya uishi town
Taasisi gani kiongoziWale wa Nov 28 sku PDF likitema kama tutakuwa tumebahatika twende wote kufuata barua basi pale kwa Dr. Asha Rose Migiro masjala ya wazi[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Unateseka kupata ajira na ukishapata unateseka kwenye mshahara pia..[emoji38][emoji38]Sasa hyo laki saba,take home inakuaje si ni 200k[emoji23][emoji23][emoji23]ama akhiiii mateso ni kla pahala.
Yaniiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kupumzika ni kaburiniUnateseka kupata ajira na ukishapata unateseka kwenye mshahara pia..[emoji38][emoji38]
Itakuwa wanataka wawe on time sasahv, yani ndani ya mwezi tayari placement. Ikiwa hivyo itakuwa raha sana.mm pia nmeshangaa sana,mtu hata hajapumua katoka dom juz juz tu jamn
Inafika ngapi mkuu? Hebu dondosha hints hapa.Kwa kozi ya miaka 4 inazidi, vile vile kwa kozi ya miaka 5
Tz unafuu wa mishahara angalau uwe mtumishi wa mashirika ya umma,huko kwingine range ni zilezile tofauti huanzia kwenye fursa zilizopo.halmashauri ndio kabisa sonona itakuuaUnateseka kupata ajira na ukishapata unateseka kwenye mshahara pia..[emoji38][emoji38]
Duuu, bahati nzuri huko hakuna utumishi. Placement zingechelewa zaidi.WALE WA BBT MAJINA TAYARII
Kwamba kubadlika badlka kwa status mapema means keka lipo njian sioItakuwa wanataka wawe on time sasahv, yani ndani ya mwezi tayari placement. Ikiwa hivyo itakuwa raha sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], yani wanakukomoa kabisaaa. Uendelee kubakia hivyohivyo.na ukitaka kufanya job transfer kuhamia kwenye mashirika/wizara bdo mtiti . haloo halmashauri inafanya watu wa heti utumishi wa umma
Hapo inaonyesha 1MCheki hapo View attachment 2527602
Hapo hamna kazi, ni stress zinaanza..Imeongezwa ni 765,000,japo ni mule mule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo hamna kazi, ni stress zinaanza..
Hapo ukimcheck jama yako mliyesoma wote chuo anamiaka miwili kazini kwenye Shirika fulani lakini tayari ana miliki Forester....mziki mzito, ohooo bado ana miliki mashamba makubwa.Yaniiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kupumzika ni kaburini
Mbona nlishaweka screenshot humuWeka picha ya status tuone mkuu kama kweli..?
Kwahyo unMaaanisha IT ameanza kulimwaga uno huko.
Weka picha BwanaMkubwa tuone