yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,585
- 4,590
Means ni mwez umepita bana sio weekYeah
Means ni mwez umepita bana sio weekYeah
Kwahyo sio kama private ambapo ukiperform well ndo unapandishwa,noma sanaKutoka TGS D laki 7.5 unatakiwa kufanya kazi miaka 5 ndipo upande daraja kwenda TGS E laki 9.9
Hali ni mbaya halmashauri na wizarani
[emoji1] anazingua labda wale waliongezwa maana kwenye list ya kuitwa Oral aliongezwa pia hakuwepo.Mmmmh uyu rafiki yako angetuma screenshot, wengine tuione kwa mara ya kwanza.
Nafasi 1 MkuuNafasi ngapi
Nafuu wizarani lkn mfano km MOFKutoka TGS D laki 7.5 unatakiwa kufanya kazi miaka 5 ndipo upande daraja kwenda TGS E laki 9.9
Hali ni mbaya halmashauri na wizarani
Duh! Hapo ngoma ngumu aseeNafasi 1 Mkuu
CPA T wa EWURA analipwa 3.8Mprivate wa jeshi elimu formfour analipwa above 700k per month, degree holder una range humo humo. sio poa kikubwa huku fursa ni nyingi hasa semina,warsha,safari na vikao
Kikubwa ni kuingia kwenye system kwanza labda kama una sehem ya kujishikizaKutoka TGS D laki 7.5 unatakiwa kufanya kazi miaka 5 ndipo upande daraja kwenda TGS E laki 9.9
Hali ni mbaya halmashauri na wizarani
Kwa scenario hii its possible kaka.[emoji1] anazingua labda wale waliongezwa maana kwenye list ya kuitwa Oral aliongezwa pia hakuwepo.
Hapo competition kubwa kaka, lolote linawezekana kaka, Ongeza dua.Nafasi 1 Mkuu
Huku hakuna performance ni mwendo wa miaka tu kutoka TGS moja na nyingine ni miaka 4.Kwahyo sio kama private ambapo ukiperform well ndo unapandishwa,noma sana
Ohooooo, hili nalo likatizamwe kwa kina....mbona ni kilio cha mtu mzima.Kutoka TGS D laki 7.5 unatakiwa kufanya kazi miaka 5 ndipo upande daraja kwenda TGS E laki 9.9
Hali ni mbaya halmashauri na wizarani
Duuuuuuh!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huku hakuna performance ni mwendo wa miaka tu kutoka TGS moja na nyingine ni miaka 4.
milioni 6 huo uongo,Uzuri jeshini wana-value sanaa professional ya mtu so huwa wanalamba mishahara miwili ndivyo nilivyosikia.. kwahiyo kama mtu ni Doctor na Captain hapo unaweza kuta anakunja hata 6M
Chai hii [emoji3]. Capt wa Jeshi analamba around 2.7m + Allowance 300k + Elimu 500k + Nyumba 600k + Vinyaji 100k plus Kozi za kijeshi inategemea lkn 6mil parefu aisee labda kwa Magenerali hukoUzuri jeshini wana-value sanaa professional ya mtu so huwa wanalamba mishahara miwili ndivyo nilivyosikia.. kwahiyo kama mtu ni Doctor na Captain hapo unaweza kuta anakunja hata 6M
Huko serikalini wanaongozwa na sera na kanuni na sheria, si busara za mkurugenzi au katibu mkuu..Kwahyo sio kama private ambapo ukiperform well ndo unapandishwa,noma sana
Na hapo hapo kuna Binti ameajiriwa kwenye hiyo Department na tumepambana nae kwenye Oral [emoji3]Duh! Hapo ngoma ngumu asee
Sure tutahama ukouko, maana mtaani sio poa. Ukiwa jobless utamuelewaKikubwa ni kuingia kwenye system kwanza labda kama una sehem ya kujishikiza
Unafika mwaka wa 5 upande unasikia uhakiki wa watumishi hewa utalia. Watu wanakaa hadi miaka 8Ohooooo, hili nalo likatizamwe kwa kina....mbona ni kilio cha mtu mzima.
Labda Mh. RAIS apate ubuyu kwamba utamfaa kuwa kiraka mahala fulani hapo utakuwa umeula sasa.Kwahyo sio kama private ambapo ukiperform well ndo unapandishwa,noma sana