Mkuu samahani hizi status zilibadilika baada ya kua umefanya oral au baada ya written?Hizi inshu za not selected zipo hiyo yangu niliipata baada ya oral ya IAE. PDF ishatoka cjatoboa .. Ila tusivunjike moyo wakati wa Mungu ukifika na cc tapata asaliView attachment 2527285