Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,570
Lazima uangaliw assurance au sio[emoji3]hahahaa
Lazima uangaliw assurance au sio[emoji3]hahahaa
I don't know....halooo,but c renewable??
sijafatilia maslahi na mianya ya kutokea mkuu wangu, but pale naonaga jamaa wako poa. unaenda conas,coet ama coaft mkuu?Mkuu hv vyuo hakuna safarisafari au Kinakuwaje..
Mfano kama umeajiriwa UDSM laboratory scientist.. au Engeener
Vipi shavu lake Linakuwaje kule..?
Kikubw aupate shave kwanzaMkuu hv vyuo hakuna safarisafari au Kinakuwaje..
Mfano kama umeajiriwa UDSM laboratory scientist.. au Engeener
Vipi shavu lake Linakuwaje kule..?
muhimu sana afsaLazima uangaliw assurance au sio[emoji3]
siku ya usahili,NIRC walikuja na cluiser kali kinoma noma,nikasema hapa kuna maisha,sio unapiga pepa na taasis wanakuja na kirikuu halooIla naimani NIRC itasomba sana watu saaana nyomi mama kaupuga mwingi, alafu nilionaga wale irrigation engineer KE walikuwa wachache na kwa ujumla walikuwa wachache, ASALI HUU MWAKA ITALIKA SANA
Kabisaa hapa kuna kamoyo flan cha sijui ✔️ au ❌,ILA muumba ni mwema ngoja tuoneMkuu upo NIRC nn unasubiri mkeka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Written ni sawa na nyingine ila Oral kunakuwa na presentation ya topic pamoja na maswali ya fani husika.Sijawahi kuapply post za tutorial assistant,hua zinakuaje kwa anaejua.
Written yake ni kama post zingine au? Na oral yake ipoje?
Kaka, mm sio TAEC kama ww ulivo wakana OUT na SUA.
Wacha tuone mungu ni mwema, kuna watu nimewaona wamekula asali tari so washapungua kuleKabisaa hapa kuna kamoyo flan cha sijui [emoji3581] au [emoji777],ILA muumba ni mwema ngoja tuone
Ata mi pia nawafaham 3 people hadi muda huuWacha tuone mungu ni mwema, kuna watu nimewaona wamekula asali tari so washapungua kule
Inatia moyo wacha wapungue zije na ASA sasa[emoji3][emoji3][emoji3] huu mwezi ni placement tu, mikando ilitembeaga sana now placement[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ata mi pia nawafaham 3 people hadi muda huu
Inakua sawa kama zingine sema kinachoongezeka kwnye oral itabidi uwafundishe kidgo utumishi topic yoyote unapewa dk kadhaa ku illustrate.Sijawahi kuapply post za tutorial assistant,hua zinakuaje kwa anaejua.
Written yake ni kama post zingine au? Na oral yake ipoje?
Kwahyo hata kama wamefanya vizuri huko NIRC hawawezi kupangiwa..?Wacha tuone mungu ni mwema, kuna watu nimewaona wamekula asali tari so washapungua kule
Double placement sidhan kama inaweza kutokea.Kwahyo hata kama wamefanya vizuri huko NIRC hawawezi kupangiwa..?
Mimi binafsi imehamia katika pdf za matangazo ya kazi, zidondoke nianze kutengeneza "received", nianze kuziba mashimo na kufanyia kazi mapungufu niliyo-observe kama kikwazo. Received zangu za awali nilishamaliza, na placement zimeshatoka.
Kumbeeeee, shukran sana boss. Wacha niziapply sasaInakua sawa kama zingine sema kinachoongezeka kwnye oral itabidi uwafundishe kidgo utumishi topic yoyote unapewa dk kadhaa ku illustrate.