HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
status
  • slectected for oral in interview kwenye web
  • selected for oral interview kwenye app

Nasubiri placement. kupata au kukosa yote yanawezekana

lets pray
Mie nimeandikiwa hivyo toka mwaka 2020 na sijapata replacement, mie nadhan status ubaki nayo mwenyewe the way unavyoelewa ila kwangu mie sidhan kama inamaana yoyote,
 
Back
Top Bottom