Wkingz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 487
- 1,220
Nakubali kaka tuna siku 8 lets wait and see.sawa luteni, kibali cha polisi ni 3000 kilitangazwa kwenye gazeti la serikali (habari leo-TSN) magereza 1000 tayari wnamalizia mafunzo kiwira. niseme tu ajira 1700 sio nyingi mkuu. basi tu sababu saiz ajira zinatoka kwa kulenga